Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA yalia ‘faulo’ Nyasa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimedai kimebaini hujuma mbalimbali zinazofanywa na viongozi wa serikali katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa na sehemu mbalimbali kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Songea yalia ubadhirifu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Ruvuma, kimeitupia lawama Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani hapa kwa kushindwa kumsaidia Rais Jakaya Kikwete katika kuwafichua na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Mbeya yalia mchezo mchafu

CHAMA  cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Mbeya mjini, kimefichua siri ya mbinu na mikakati michafu ya kisiasa inayoratibiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ili kuhakikisha idadi kubwa ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yalia rafu serikali za mitaa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA (CHADEMA), kimelia kufanyiwa fitna mbalimbali ili kukifanya kisishiriki ipasavyo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 4 mwaka huu. Kati ya mbinu hizo...

 

9 years ago

Michuzi

UHURU PUBLICATIONS LIMITED YALIA NA CHADEMA KWA KUPIGWA MWANDISHI WAKE

LEO ASUBUHI, MWANDISHI AMBAYE PIA NI MPIGAPICHA WA MAGAZETI YA UHURU, MZALENDO NA BURUDANI YANAYOCHAPISHWA NA KAMPUNI YA UHURU PUBLICATIONS, CHRISTOPHER LISSA, ALIPATA TAARIFA ZA MAANDAMANO YA WALIOTAJWA KUWA WAFUASI WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) WALIOKUWA WAMEKUSUDIA KUANDAMANA KWENDA MAKAO MAKUU YA CHAMA CHAO.


LISSA ALIMFAHAMISHA MHARIRI WAKE JUU YA TAARIFA HIZO, AMBAPO MHARIRI ALIMTAKA KUFUATILIA TUKIO HILO.


MWANDISHI HUYO ALIONDOKA OFISINI SAA 2:50 ASUBUHI MPAKA KINONDONI...

 

11 years ago

Mwananchi

Olaba: Mbeya City nguvu, faulo tupu

>Kocha wa Ruvu Shooting, Tom Olaba amesema kikosi chake hakikustahili kutoka sare ya bao 1-1 na Mbeya City kwani wapinzani wao hawakuwa na kitu zaidi ya kucheza faulo kwa asilimia 65 ya mchezo wao.

 

11 years ago

Mwananchi

Uamsho yalia na Lukuvi

Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki), imemtumia barua Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta kueleza masikitiko yake kuhusu tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi kuwa inahusika na vitendo vya uvunjifu wa amani.

 

11 years ago

Dewji Blog

LHRC yalia na Sitta

Bisimba-1024x683

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Hellen Kijo-Bisimba.

Na Mwandishi wetu

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimemtaka Spika wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, kuacha kutaka kuwaziba midomo wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na vyombo vya habari kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka misingi ya demokrasia na utawala wa kisheria.

Hayo yamo katika taarifa ya kituo hicho iliyosomwa mbele ya waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa katiba...

 

9 years ago

Habarileo

Simba ‘yalia’ na mwamuzi

UONGOZI wa timu ya Simba umemlalamikia mwamuzi Israel Nkongo aliyechezesha mechi yake ya Ligi Kuu bara dhidi ya Yanga mwishoni mwa wiki iliyopita ukidai hakutenda haki. Mbali na madai hayo, Simba pia imemlalamikia mchezaji wa Yanga Donald Ngoma kwa kumpiga kichwa mchezaji wao Hassan Kessy.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

SUMATRA yalia na wanasiasa


NA MOHAMMED ISSA
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imesema tatizo la usafiri wa pikipiki nchini linachangiwa na utashi wa kisiasa.
Pia imesema ajali za pikipiki zimekuwa tishio na kwamba zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku.
Mbali na hilo, imesema asilimia 99 ya watoa huduma ya usafiri wa pikipiki, hawana leseni na kwamba, hawana elimu ya usafiri.
Imesema kutokana na hali hiyo, hivi karibuni itaanza kutoa elimu nchi mzima na haitatoa leseni ya usafiri wa pikipiki kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani