Uamsho yalia na Lukuvi
Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki), imemtumia barua Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta kueleza masikitiko yake kuhusu tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi kuwa inahusika na vitendo vya uvunjifu wa amani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
LHRC yalia na Sitta
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Hellen Kijo-Bisimba.
Na Mwandishi wetu
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimemtaka Spika wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, kuacha kutaka kuwaziba midomo wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na vyombo vya habari kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka misingi ya demokrasia na utawala wa kisheria.
Hayo yamo katika taarifa ya kituo hicho iliyosomwa mbele ya waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa katiba...
11 years ago
Uhuru NewspaperSUMATRA yalia na wanasiasa
NA MOHAMMED ISSA
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imesema tatizo la usafiri wa pikipiki nchini linachangiwa na utashi wa kisiasa.
Pia imesema ajali za pikipiki zimekuwa tishio na kwamba zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku.
Mbali na hilo, imesema asilimia 99 ya watoa huduma ya usafiri wa pikipiki, hawana leseni na kwamba, hawana elimu ya usafiri.
Imesema kutokana na hali hiyo, hivi karibuni itaanza kutoa elimu nchi mzima na haitatoa leseni ya usafiri wa pikipiki kwa...
9 years ago
Habarileo28 Sep
Simba ‘yalia’ na mwamuzi
UONGOZI wa timu ya Simba umemlalamikia mwamuzi Israel Nkongo aliyechezesha mechi yake ya Ligi Kuu bara dhidi ya Yanga mwishoni mwa wiki iliyopita ukidai hakutenda haki. Mbali na madai hayo, Simba pia imemlalamikia mchezaji wa Yanga Donald Ngoma kwa kumpiga kichwa mchezaji wao Hassan Kessy.
11 years ago
Uhuru Newspaper27 Jun
CCM yalia na watumishi wahujumu
Na Ahmed Makongo, Bunda CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara, kimesema baadhi ya watumishi wa serikali mkoani humo, wanaihujumu serikali pamoja na ilani ya uchaguzi ya Chama. Katika madai yake hayo, CCM imesema watumishi hao wanafanya hivyo kwa kutokuwajibika ipasavyo katika kutekeleza majukumu yao ikiwa pamoja na kusimamia kikamilifu utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya, alitoa shutuma hizo kwa nyakati na maeneo tofauti, wakati...
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
KNCU yalia na ofisi ya Mrajisi
CHAMA Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU), kimeishutumu ofisi ya Mrajisi wa vyama vya ushirika nchini kikidai ni kikwazo katika ustawi wa ushirika kutokana na kuyumba katika utoaji wa uamuzi. Shutuma hizo...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Babati yalia utekelezaji bajeti
HALMASHAURI ya Wilaya ya Babati, mkoani Manyara inakabiliwa na changamoto ya utekelezaji wa ukusanyaji wa mapato ya zaidi ya sh bil. 31 kwa bajeti ya mwaka 2013/2014 kutoka katika vyanzo...
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
CHADEMA yalia ‘faulo’ Nyasa
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimedai kimebaini hujuma mbalimbali zinazofanywa na viongozi wa serikali katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa na sehemu mbalimbali kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa...
10 years ago
Michuzi12 Nov
SHIWATA YALIA KUMPOTEZA AMIGOLAS
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA)unaungana na watanzania kuomboleza kifo cha mwanamuziki maarufu Hamisi Kayumbu 'Amigolas' aliyefariki Jumapili na kuzikwa Jumatatu iliyopita katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema jana Dar es Salaam kuwa marehemu Amigolas atakumbukwa kwa mengi aliyoyafanya akiwa mwanachama wa mtandao huo alishiriki kutafuta eneo la makazi ya wasanii ya kijiji cha Mwanzega na shamba la wasanii lililopo Ngarambe wilaya...
10 years ago
Dewji Blog10 Nov
SIKIKA yalia na deni la MSD
Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi wetu
MKURUGENZI Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria, amesema taasisi hiyo imesikitishwa na taarifa kuwa vituo vya kutolea huduma ya afya nchini vinakabiliwa na uhaba wa dawa na vifaatiba.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kiria, alisema upungufu huo unasemekana umekuwa ukiwaathiri zaidi wananchi wasiokuwa na bima za afya.
Alisema uhaba huo wa...