Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHIWATA YALIA KUMPOTEZA AMIGOLAS


MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA)unaungana na watanzania kuomboleza kifo cha mwanamuziki maarufu Hamisi Kayumbu 'Amigolas' aliyefariki Jumapili na kuzikwa Jumatatu iliyopita katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema jana Dar es Salaam kuwa marehemu Amigolas atakumbukwa kwa mengi aliyoyafanya akiwa mwanachama wa mtandao huo alishiriki kutafuta eneo la makazi ya wasanii ya kijiji cha Mwanzega na shamba la wasanii lililopo Ngarambe wilaya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Besta akanusha kumpoteza Marlaw kwenye muziki

Msanii wa muziki, Besta ambaye pia ni mke wa Marlaw, amekanusha kumpoteza mume wake kwenye muziki. Akizungumza leo kwenye U Heard ya Cloud FM, Besta alisema hawezi kumkataza Marlaw kufanya muziki. “Kwanini nimkataze wakati na mimi nafanya muziki?” alihoji. “Kwa sababu kama ningemkataza na mimi angenikataza kufanya muziki. Kila mtu anajipanga sio kukurupuka, sio kwa […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Mume azungumzia machungu ya kumpoteza mke wake aliyekuwa mjamzito kwa virusi vya corona

Mume azungumzia machungu ya kumpoteza mke wake aliyekuwa mjamzito baada ya kuambukizwa virusi vya corona.

 

10 years ago

AllAfrica.Com

Kikwete Mourns Fallen 'Amigolas'


Kikwete Mourns Fallen 'Amigolas'
AllAfrica.com
PRESIDENT Jakaya Kikwete has joined mourners across the country in paying tribute to fallen musician Khamisi Kayumbu 'Amigolas,' who died on Sunday and was laid to rest in Dar es Salaam. Amigolas, who until his death was working with Ruvu Stars ...

 

10 years ago

Mwananchi

MAJONZI: Amigolas kuzikwa leo Kisutu

>Mwanamuziki wa bendi ya Ruvu Star inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Hamis Kayumbu Amigolas aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku tano, anatarajiwa kuzikwa leo saa 9:00 kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amigolas, Hega, Diouf wapagawisha Kibaha

WANAMUZIKI mahiri wa muziki wa dansi nchini, Hamis Kayumbu ‘Amigolas’, Rogart Hega ‘Caterpillar’ na Msafiri Said ‘Diouf’, mwishoni mwa wiki walifanya shoo ya aina yake wakati wa shindano la Redd’s...

 

10 years ago

GPL

AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA

Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' enzi za uhai wake. Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas'  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku kadhaa. Amigo alilazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambapo taratibu za kufanyiwa upasuaji zilikuwa zikiandaliwa lakini mauti yakamkuta kabla ya lolote kufanyika. Mwimbaji huyu ambaye hadi...

 

10 years ago

Michuzi

SHIWATA kumuenzi Mwalimu Nyerere

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeandaa ibada maalum ya kumkumbuka Baba wa taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere itakayofanyika katika mashamba yao yaliyopo kijiji cha Ngarambe, Mkuramga mkoa wa Pawani.
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema jana kuwa katika ibada hiyo itaongozwa na Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum kwa upande wa Waislam na Padri John Solomon kwa upande wa Wakristo.
Taalib alisema katika ibada hiyo Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Silla na...

 

10 years ago

Michuzi

SHIWATA yakabidhi nyumba 16 Mkuranga

 Wasanii wakipata maelekezo kutoka kwa Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib (hayupo pichani) utaratibu wa kutunza nyumba walizogaiwa kwenye kijiji cha Wasanii Mwanzega, Mkuranga juzi . Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib akitoa ufafanuzi wa makazi mapya ya kijiji cha M\Wasanii Mwanzega, Mkuranga baada ya kugawa nyumba 16 kwa wasanii hao.Picha ya pamoja.
 
Na Peter Mwenda

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) imegawa nyumba nyingine 16 kwa wanachama wake waliokamilisha ujenzi ambako mpaka ...

 

10 years ago

Vijimambo

HAMIS KIYUMBU AMIGOLAS AZIKWA MAKABURI YA KISUTU

0 Mwili wa Marehemu Hamis Kayumbu Amigolas  akiwekwa kwenye gari mara baada ya kutolewa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya taifa ya Muhimbili jana tayari kwa mazishi ambayo yalifanyika jana arlasiri kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam ambapo wanamuziki , ndugu  jamaa na marafiki mbalimbali pamoja na waombolezaji wengine walijitokeza kwa ajili ya kumzika marehemu Amigolas ambaye aliwahi kutambana bendi ya African Stars Twanga Peteta kabla ya kweda Ruvu Stars Band ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani