Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LHRC yalia na Sitta

Bisimba-1024x683

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Hellen Kijo-Bisimba.

Na Mwandishi wetu

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimemtaka Spika wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, kuacha kutaka kuwaziba midomo wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na vyombo vya habari kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka misingi ya demokrasia na utawala wa kisheria.

Hayo yamo katika taarifa ya kituo hicho iliyosomwa mbele ya waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa katiba...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

LHRC yamtahadharisha Sitta

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimemtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kutotumia vibaya kifungu kilichompa nguvu ya kuongeza muda  bila kikomo, kwani kunaweza kulifanya...

 

11 years ago

Mwananchi

Uamsho yalia na Lukuvi

Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki), imemtumia barua Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta kueleza masikitiko yake kuhusu tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi kuwa inahusika na vitendo vya uvunjifu wa amani.

 

9 years ago

Habarileo

Simba ‘yalia’ na mwamuzi

UONGOZI wa timu ya Simba umemlalamikia mwamuzi Israel Nkongo aliyechezesha mechi yake ya Ligi Kuu bara dhidi ya Yanga mwishoni mwa wiki iliyopita ukidai hakutenda haki. Mbali na madai hayo, Simba pia imemlalamikia mchezaji wa Yanga Donald Ngoma kwa kumpiga kichwa mchezaji wao Hassan Kessy.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

SUMATRA yalia na wanasiasa


NA MOHAMMED ISSA
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imesema tatizo la usafiri wa pikipiki nchini linachangiwa na utashi wa kisiasa.
Pia imesema ajali za pikipiki zimekuwa tishio na kwamba zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku.
Mbali na hilo, imesema asilimia 99 ya watoa huduma ya usafiri wa pikipiki, hawana leseni na kwamba, hawana elimu ya usafiri.
Imesema kutokana na hali hiyo, hivi karibuni itaanza kutoa elimu nchi mzima na haitatoa leseni ya usafiri wa pikipiki kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Songea yalia ubadhirifu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Ruvuma, kimeitupia lawama Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani hapa kwa kushindwa kumsaidia Rais Jakaya Kikwete katika kuwafichua na...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

CCM yalia na watumishi wahujumu



Na Ahmed Makongo, Bunda CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara, kimesema baadhi ya watumishi wa serikali mkoani humo, wanaihujumu serikali pamoja na ilani ya uchaguzi ya Chama. Katika madai yake hayo, CCM imesema watumishi hao wanafanya hivyo kwa kutokuwajibika ipasavyo katika kutekeleza majukumu yao ikiwa pamoja na kusimamia kikamilifu utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya, alitoa shutuma hizo kwa nyakati na maeneo tofauti, wakati...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yalia ‘faulo’ Nyasa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimedai kimebaini hujuma mbalimbali zinazofanywa na viongozi wa serikali katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa na sehemu mbalimbali kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa...

 

10 years ago

Mwananchi

TRA yalia na misamaha ya kodi

>Misamaha ya kodi imekuwa ikilikosesha taifa zaidi ya Sh100 bilioni kwa mwezi, hatua ambayo Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) inaona ni kikwazo katika kufikia malengo ya ukusanyaji kodi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bohumata yalia ufinyu wa bajeti

BODI ya Huduma za Maktaba Tanzania (Bohumata), inakabiliwa na changamoto ya ufinyu wa bajeti pamoja na upungufu wa waandishi wa vitabu kutoka nchini. Mkuu wa Kitengo cha Mipango wa bodi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani