Simba ‘yalia’ na mwamuzi
UONGOZI wa timu ya Simba umemlalamikia mwamuzi Israel Nkongo aliyechezesha mechi yake ya Ligi Kuu bara dhidi ya Yanga mwishoni mwa wiki iliyopita ukidai hakutenda haki. Mbali na madai hayo, Simba pia imemlalamikia mchezaji wa Yanga Donald Ngoma kwa kumpiga kichwa mchezaji wao Hassan Kessy.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania28 Sep
Simba washikana uchawi, yamshtaki mwamuzi
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KIPIGO ilichokipata timu ya Simba kwenye mchezo dhidi ya mahasimu wao, Yanga juzi kimezua mapya kwa wekundu hao baada ya wachezaji watatu wa safu ya ulinzi kudaiwa kufanya hujuma
Yanga ilivunja uteja dhidi ya Simba kwa kuichapa mabao 2-0 yaliyofungwa na washambuliaji, Amissi Tambwe na Malimi Busungu.
Habari za kutoka ndani ya Simba zilizolifikia gazeti hili zimedai kuwa wachezaji hao wa safu ya ulinzi walishindwa kabisa kuwazuia washambuliaji wa Yanga,...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Yanga walia na mwamuzi
BAADA ya Yanga kulazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya mahasimu wao Simba, Kocha Mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm, amemtupia lawama mwamuzi Dominic Nyamisana wa Dodoma kwa madai ya...
9 years ago
Habarileo01 Jan
Maxime amlalamikia mwamuzi
BAADA ya Mtibwa Sugar kupata kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Azam, Kocha Mecky Maxime amemlaumu mwamuzi wa mchezo huo akidai aliwabeba wapinzani wao.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/SmeHN3HZ9oZgADPEItNrxzO0mOSiox8aydL3iGTGZpQDcr*fs3J4XC5d4iOSFeiZ9O0RbmahUOlllXw6UyNwpyNThjPrgWYY/TFF.jpg)
RAMBIRAMBI MSIBA WA MWAMUZI MSEBULA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-i10o1WN0Ozw/VA2xgmdsDlI/AAAAAAAGh5A/VRIRscFRhcs/s72-c/Nembo-ya-TFF.jpg)
RAMBIRAMBI MSIBA WA MWAMUZI LUGENGE
![](http://4.bp.blogspot.com/-i10o1WN0Ozw/VA2xgmdsDlI/AAAAAAAGh5A/VRIRscFRhcs/s1600/Nembo-ya-TFF.jpg)
Luteni Lugenge ambaye mwishoni mwa wiki alishiriki mitihani ya utimamu wa mwili kwa waamuzi wa Ligi Kuu alikuwa na ndugu yake Christopher Alexander Lunyungu katika gari dogo wakienda mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu...
11 years ago
Habarileo25 Mar
Ronaldo- Mwamuzi aliwabeba Barcelona
MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amesema “maamuzi yasiyoaminika” yameigharimu timu yake katika kichapo cha mabao 4-3 kutoka kwa Barcelona juzi. Lionel Messi alifunga penalti mbili zinazotiliwa shaka kati ya mabao yake matatu wakati Barca ilipotoka kuwa nyuma kwa mabao 3-2 na kufufua matumaini yao ya ubingwa.
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Aliyempiga kichwa mwamuzi aadhibiwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRATqGbBDZoOtEN6yjWslKHXuksBYqrWSHD5DD33OTf-olRVrIDk0I-EK9RZKvrboaG3yCT4x2nojiH0fFwHik3c6/mahaba.jpg?width=650)
MAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JF-pWsE9wxeLN*ruBAOvt*80lYyM-rS3qTfRkgZA-9jIbMDbCUULP7wk7VuUWg8a0jNvPs-9OQf5FVofsr2AAbfM7vPWxpuT/mahaba1.jpg?width=650)
MAPENZI YA RAHA AU KARAHA, MWAMUZI NI WEWE!-2