CHADEMA yamteua Mwenda ubunge Kalenga
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemteua mwanasheria Sinkala Mwenda kugombea ubunge wa Kalenga baada ya kuwashinda wenzake 13. Katika kinyang’anyiro cha uteuzi huo kada aliyekimbia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kushindwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi12 Feb
news alert: CHADEMA KALENGA WAJUMBE WAMCHAGUA MWANASHERIA MWENDA KUMVAA MTOTO WA MGIMWA
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
CHADEMA wapata mgombea ubunge Kalenga
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imemtangaza Grace Tendega kuwa mgombea ubunge Jimbo la Kalenga. Jimbo hilo lipo wazi baada ya kifo cha mbunge wake, William Mgimwa,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jGx*Zr11BrItu5WhsSymm3FVUxUpePPnA*2ZaI43xfi47*oy5-xe*Z9RaCXsSlb7hOETKsDwneJA*drfVjT37ZR/MgombeakupokelewaLumuli.jpg?width=650)
CHADEMA KATIKA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kalenga (Chadema), Grace Tendega akipokelewa katika kijiji cha Lumuli, Iringa.
Heche akihutubia wananchi wa Lumuli .…
11 years ago
Michuzi12 Feb
MWALIMU AJITOKEZA KUOMBA UBUNGE KALENGA KUPITIA CHADEMA
11 years ago
Michuzi23 Feb
CHADEMA WAZINDUA RASMI KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/G7xbiEkgezPx6pgAsGhFATtWjUlpHntqCo7v0HvMowjpN5GyZxSV1WXWlqkjIYUmx-7vvbPcpmjAwnoXiuclDnwmTm2GwunD4-2Tngy7pLDDjrIRp5_dvyhuMhwgFJqAVUASs7UNSuoXTKvl401l6WNRtdsbd82F3nhzosG_7kqyZ_S6yg1NtjgbddlEyyDzBKTP9dFhkiElZ-Zw9PDov8D52UT7auGFvxat_NwZoltD3uGxmvHUKbAJmkmBvpLThYKxVj6j2y2_2nS_ZEnhUg=s0-d-e1-ft#https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fwww.mjengwablog.com%2Fimages%2Fkumnadii_f8eb3.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![makumbusho_a0aac.jpg](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/8cun0biI9zPKy_3UlDuWaEuG7bPQA45XdTfdG4qjwmaPLoAUHFhfv5LE6JGHD_fGNt8tqjkJJRACA8n1_idrh4TAjg6NfWxvPXvEJQ=s0-d-e1-ft#http://www.mjengwablog.com/images/makumbusho_a0aac.jpg)
![mvua_6aa63.jpg](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/Xiwgp_BncZTSH3c4qCRnfWmxJjZiYHaXnqOF5DvOzfveQ2qa_NQKp15_tlOTH8ruBU5ul9_f0WeRj4hpLe3Y8TG0qUugSQ=s0-d-e1-ft#http://www.mjengwablog.com/images/mvua_6aa63.jpg)
![kumnadii_f8eb3.jpg](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/hAEBiMlUb_44sPj6cf9ViOEcQubXhu-t3MliYjW3scEJcs1iqIfNP0h6AcTdeixPgk-DDgN5934RU8JiUkidCuc8txeu9epg8uo=s0-d-e1-ft#http://www.mjengwablog.com/images/kumnadii_f8eb3.jpg)
11 years ago
GPLMWALIMU AJITOKEZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA KUPITIA CHADEMA
Katibu wa Chadema Wilaya ya Iringa Vijijini, Felix Nyondo (kulia) akipokea fomu kutoka kwa Mwalimu Vitus Lawa (kushoto). Fomu hizo ni kwa ajili ya kuwania kinyang'anyiro cha kuwa mgombea wa Chadema Jimbo la Kalenga, Iringa.
Baadhi ya wadau waliomsindikiza Mwalimu Vitus Lawa kurejesha fomu za kuchaguliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Kalenga katika ofisi za chama hicho zilizoko kata ya Gangilonga, Iringa.…
...
11 years ago
Michuzi20 Feb
PINGAMIZI LA CHADEMA DHIDI YA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA LATUPWA
Lile pingamizi lililokuwa limewekwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) dhidi ya mgombea ubunge katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) limetupwa.
Katika pingamizi lao lilowasilishwa juzi, Chadema walikuwa wanapinga Godfrey Mgimwa kugombea ubunge kupitia CCM kama alivyoomba kwa kuwa sio raia wa Tanzania.
Tetesi za tatizo la uraia wa Godfrey Mgimwa zilisambaa mjini Iringa baada ya Chadema kuweka pingamizi hilo.
Katika Pingamizi...
11 years ago
Michuzi09 Feb
MUUZA MAGAZETI AJITOKEZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA KUPITIA CHADEMA
Uchaguzi mdogo wa kujaza kiti hicho kilichoachwa wazi na Dk William Mgimwa aliyefariki Januari 1, mwaka huu, utafanyika Machi 16, mwaka huu.
Akitumia umaarufu wake wa kuuza magazeti mjini hapa, Pugili aliyesindikizwa na baadhi ya wauza magazeti wenzake alichukua fomu za Chadema kwa staili ya aina yake...
11 years ago
GPLMSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA KALENGA AZUIWA NA POLISI MKOANI IRINGA
Polisi mkoani Iringa wakiwa  wamezuia msafara  wa mgombea   ubunge jimbo la Kalenga, Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai  hawakuwa na kibali cha kufanya  maandamano  hayo ya magari  hapa  ni eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo  ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi  ili kuchukua fomu. Mgombea  ubunge wa  Chadema Kalenga, Grace...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania