news alert: CHADEMA KALENGA WAJUMBE WAMCHAGUA MWANASHERIA MWENDA KUMVAA MTOTO WA MGIMWA
Wajumbe wa mkutano mkuu wa kura za maoni jimbo la Kalenga wa CHADEMA jioni hii wametegua kitendawili cha nani kati ya makada 13 atakayevaana na mgombea wa CCM katika uchaguzi huo baada ya kumchagua mwanasheria Sinkala Mwenda kwa kura 132 dhidi ya kura 122 alizopata mpinzani wake wa karibu Grace Tendega huku Zuberi Mwachura akiambulia 0 katika uchaguzi huo uliofanyika mjini Iringa.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi09 Feb
news alert: MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI KUGOMBEA UBUNGE WA KALENGA

Mtokeo ya kura za maoni ndani ya CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo huku mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Godfrey Mgimwa akishinda kwa kishindo katika nafasi hiyo, akifuatiwa na Jackson Kiswaga katika matokeo hayo.
Godfrey Mgimwa amepata kura 342 huku Kiswaga akipata...
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
CHADEMA yamteua Mwenda ubunge Kalenga
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemteua mwanasheria Sinkala Mwenda kugombea ubunge wa Kalenga baada ya kuwashinda wenzake 13. Katika kinyang’anyiro cha uteuzi huo kada aliyekimbia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kushindwa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
CHADEMA: Mgimwa haijui Kalenga
MENEJA Kampeni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Kalenga, Alphonce Mawazo, amewataka wananchi wa jimbo hilo kutopoteza kura zao kumchagua mgombea wa CCM,...
11 years ago
GPL
MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI CCM, KUGOMBEA JIMBO LA KALENGA
11 years ago
Michuzi
news alert: Majina ya wajumbe wa Bunge maalumu la katiba yatangazwa leo


10 years ago
Habarileo06 Jun
Mwanasheria atangaza kumvaa Kafulila Kigoma
WAKATI mchakato wa kutangaza nia ukiendelea kwa wagombea wa nafasi ya urais nchini, Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma Iddi Ndabhona ametangaza nia kuwania ubunge katika jimbo la Kigoma Kusini wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
11 years ago
Michuzi
NEWS ALERT:Matokeo ya Awali yasiyo rasmi kutoka vituo mbalimbali uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Kalenga.

CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0 Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0 Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0
Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0 Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0 Zahanati CCM 117,Chadema 67, CHAUSTA 1 Ifunda Kivalali A CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0 Kivalali B CCM 109 Chadema 14, CHAUSTA 1 Muwimbi CCM164, Chadema 22 CHAUSTA 0
Mahanzi CCM 130 Chadema 46 CHAUSTA 0 Ikungwe A CCM 131 Chadema 23 CHAUSTA 0 Ikungwe B CCM 216 Chadema 13 CHAUSTA...