Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yavuta kasi mbio za urais Zanzibar

Wakati NCCR-Mageuzi na CUF wakitangaza nia ya kugombea urais wa Zanzibar, Chadema bado wanaangalia mvumo wa upepo kabla ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuteua mwakilishi mmoja wa kupambana na CCM.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbio uchaguzi wa ndani Chadema zashika kasi

Mbio kuelekea uchaguzi mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zinazidi kushika kasi baada ya wagombea zaidi kujitokeza kuchukua fomu za kuwania ujumbe wa Kamati Kuu.

 

9 years ago

StarTV

Mbio za urais visiwani Zanzibar

hamad JOTO la kuwania urais wa Zanzibar limezidi kupanda huku mgombe wa nafasi hiyo kupitia Chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamesd akijitosa kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo.

Hamad ametamba kuwa anatarajia kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi na kuanzisha shirika jipya la ndege la Zanzibar iwapo wananchi watampigia kura kuwa Rais mpya katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Hamad alitoa msimamo huo jana mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania urais na Mwenyekiti wa Tume ya Uchguzi...

 

10 years ago

Vijimambo

MBIO ZA URAIS

Butiama. Mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Charles Makongoro, ametangaza nia ya kuwania urais, akisema anaomba kibali kuisaidia CCM iache rushwa, kuparaganyika na atakapoingia madarakani, ili asiwaangushe Watanzania, anahitaji chama imara kisicho na shaka kama ilivyo sasa.Akitangaza nia hiyo nyumbani kwao Mwitongo, Butiama jana, Makongoro alisema kutokana na CCM “kubakwa na vibaka,” inawavunja moyo wanachama na inawakatisha tamaa Watanzania, hivyo inahitaji kiongozi...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

MBIO ZA URAIS 2015



 Ngeleja naye afunguka
NA PETER KATULANDA, MWANZA
WAKATI vijana wakiendelea kupigiwa upatu katika harakati za kuwania urais katika uchaguzi mkuu mwakani, Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, ameibuka na kuweka mambo hadharani.

Ngeleja, ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini na miongoni mwa wanasiasa vijana wanaotajwa kuwa wanatosha kwenye nafasi hiyo, amesema ni mapenzi ya Mungu ndiyo yatamwongoza kuwania nafasi hiyo au kuendelea na ubunge.
“Kwa sasa naendelea kutii maagizo ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Mbio urais CCM

Khamis Mkotya na Debora Sanja, Dodoma

HATIMAYE mbio za urais, ubunge, udiwani na uwakilishi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeanza rasmi, baada ya chama hicho kutangaza ratiba ya kuchukua na kurejesha fomu.
Ratiba hiyo inaonyesha fomu za wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar zitaanza kutolewa Juni 3 na kurejeshwa Julai 2, mwaka huu, saa kumi jioni.
Kuhusu nafasi ya ubunge, udiwani na uwakilishi, wagombea wa nafasi hiyo wanatakiwa kuchukua fomu kuanzia Julai 15...

 

10 years ago

Habarileo

Mkulima anogesha mbio za urais

MKULIMA kutoka Kasulu mkoani Kigoma, Eldeforce Bilohe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu.MKULIMA kutoka Kasulu mkoani Kigoma, Eldeforce Bilohe (43) jana alichukua fomu za kuwania urais na kusema kuwa kati ya wagombea 27 ambao wamejitokeza haoni kama kuna mgombea ambaye ni tishio kwake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda: Nimeanza mbio za urais

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amefanya kile alichokifanya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, kwa kutangaza nia ya kuwania urais mwaka 2015, akiwa jijini London nchini Uingereza. Pinda...

 

9 years ago

Vijimambo

Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar Wakisubiri Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar

Viongozi wa Chama cha CCM wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri matokeo ya Kura za Wagombea Urais wa Zanzibar kutangwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salim Jecha, Ukumbi wa Salama ndio kituo Kikuu cha kutangazia Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar. Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama wakisubiri kutaja kwa Matokeo ya Urais wa Zanzibar na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.Viongozi wa Chama cha CUF wakiwa katika ukumbi wa Salama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani