Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chaka Khan amshauri Rihanna ‘Una sauti nzuri si lazima uoneshe mwili wako’

Muimbaji mkongwe wa Marekani, Chaka Khan amedai kuwa Rihanna ana sauti ya kutosha kuuza muziki bila hata kutumia mwili wake kufanya hivyo. Muimbaji huyo mwenye miaka 61 anaamini kuwa si muhimu kwa Rihanna na wasanii wengine kama Ariana Grande kuona ulazima wa kuvua nguo kwenye video zao za muziki au kwenye photoshoots ili kuuza nyimbo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Chaka Khan: Sauti iliyoacha historia kwenye miondoko ya Funk

Unapozungumzia muziki wa Funk, hutatenda haki kwa mashabiki ikiwa hutamtaja Chaka Khan ambaye ni miongoni mwa wasanii waliowahi kufanya vizuri kwenye miondoko hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Tunachohitaji ni ufumbuzi wa matatizo siyo sauti nzuri

Nimeandika makala kadhaa zinazohusu huduma bora kwa wateja katika safu hii. Nalazimika kuandika tena leo kwa sababu kwa kweli maeneo mengi ya nchi hii huduma ni mbovu sana. Yapo mabadiliko katika maeneo machache ambayo yanaonyesha angalau watu wanatambua kuwa kuna ushindani katika biashara zetu hivyo wanatakiwa kutoa huduma kwa ushindani; hao nawapa hongera.

 

9 years ago

GPL

MPENZI WAKO AKIKULALAMIKIA UNA WIVU WA KIJINGA KWAKE... UJUE ANAKUSALITI-2

NAAM! Ni Jumanne tena. Naamini wasomaji wangu mnaendelea kuhesabu siku kuifikia Oktoba 25, mwaka huu ambapo itakuwa siku ya kupiga kura kumchagua rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini pia kuna kuwachagua madiwani na wabunge. Kwa upande wangu nashukuru sana kwamba pamoja na harakati za uchaguzi mkuu, bado napata meseji nyingi sana kutoka kwenu. Hii inaashiria kwamba, mnanisoma vizuri. Wiki iliyopita mada...

 

11 years ago

Tanzania Daima

YVONE CHAKA CHAKA: Mtoto wa kwanza mweusi runingani Afrika Kusini

YVONE  Chaka Chaka ni mwimbaji machachari mwenye sauti nyororo inayosindikizwa na haiba usoni mwake. Alizaliwa katika mji wa Dobsonville huko Soweto, nchini Afrika Kusini mwaka 1965, ambaye aliweka rekodi ya...

 

10 years ago

Bongo5

Yvonne Chaka Chaka kutumbuiza Kenya mwezi huu

Mashabiki wa Kenya mwezi huu watapata nafasi ya kupata burudani kutoka kwa wasanii wawili wakubwa wa Afrika katika show mbili tofauti. Mwanamuziki mkongwe wa Afrika Kusini, Yvonne Chaka Chaka atatumbuiza jijini Nairobi, Kenya katikati ya mwezi huu. Hit maker huyo wa ‘Umqombothi’ atatumbuiza na wasanii wengine wa Kenya akiwemo Nameless kwenye tamasha la ‘Koroga festival’. […]

 

10 years ago

TheCitizen

Chaka Chaka: Nyerere was real son of African continent

“For me, Mwalimu Nyerere is not the Father of the Nation for Tanzanians only; he is the father of the African Continent,” Ms Chaka-chaka told the media in Arusha yesterday.

 

9 years ago

Bongo5

Una mpango wa kuchora tattoo ya mpenzi wako? Shilole ana ushauri kuhusu hilo

shishi nw

Shilole a.k.a Shishi baby ametoa ushauri kwa watu kutochora tattoo za wapenzi wao, ili isije kuwapa shida pale watakapoachana kama ilivyomtokea yeye na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.

shishi nw

Shishi ametoa ushauri huo baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.

“Sina tattoo tena nimeamua tu kuifuta,tutapendana tu kama ni mapenzi tutapeana ya rohoni,mambo ya kuchorana tattoo nimeshaacha,nishaona hakuna sababu ya kuchora unaweza kuchora tattoo ukazuia mambo yako mengi yanayopita.”...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Wimbo ramsi wa tuzo za Afrimma ulioshirikisha wasanii 10 akiwemo Diamond, Yvonne Chaka chaka, Vanessa Mdee…

Wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanaowania tuzo za Afrimma wameungana kufanya wimbo rasmi wa tuzo hizo (Afrimma Theme Song). Walioshiriki katika wimbo huo ni pamoja na mkongwe kutoka Afrika Kusini Yvonne Chaka Chaka, Awilo Logomba (Congo), Diamond Platnumz (Tanzania), Eddy Kenzo (Uganda), Harrysong (Nigeria), Kcee (Nigeria), Stanley Enow (Cameroon), Dynamq (South Sudan) Teddy-A (Nigeria), […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Utegili wa wanaume una kiwango kikubwa cha kinga ya mwili

Wanaume ambao wamewahi kupata maambukizi ya virusi vya corona wanatakiwa kuchangia utegili wao (plasma) au majimaji yanayobaki kwenye damu baada ya kuondolewa kwa seli za damu ili uweze kutumika katika utafiti wa tiba ya ugonjwa wa Covid-19.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani