Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunachohitaji ni ufumbuzi wa matatizo siyo sauti nzuri

Nimeandika makala kadhaa zinazohusu huduma bora kwa wateja katika safu hii. Nalazimika kuandika tena leo kwa sababu kwa kweli maeneo mengi ya nchi hii huduma ni mbovu sana. Yapo mabadiliko katika maeneo machache ambayo yanaonyesha angalau watu wanatambua kuwa kuna ushindani katika biashara zetu hivyo wanatakiwa kutoa huduma kwa ushindani; hao nawapa hongera.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wabunge Duniani wakutana kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya kiusalama yanayoikabili Dunia

Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 131 wa Chama cha Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Hamad Rashid Mohamed akifatilia kwa makini Mkutano wa 131 wa Chama cha Mabunge Duniani (IPU),unaofanyika mjini Geneva,Uswis.Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 131 wa Chama cha Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Hamad Rashid Mohamed akiteta jambo na Balozi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa Geneva, Uswis, Balozi Modest Mero wakati wa Mkutano wa chama hicho mjini Geneva leo.Ujumbe wa Tanzania...

 

10 years ago

GPL

WANAWAKE: MSITUMIE SUKARI SIYO NZURI SANA!

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na jarida moja la masuala ya afya la nchini Uingereza (BMC Public Health), unywaji wa vinywaji vyenye sukari, kiasi cha mara tatu kwa wiki, huweza kunenepesha matiti na unenepaji wa matiti huongeza hatari ya mwanamke kupatwa na saratani ya matiti. Waliofanyiwa utafiti huo ni wanawake 776 ambao hawajafikia ukomo wa hedhi (Premenopausal) na wanawake 779 waliofikia ukomo wa hedhi...

 

9 years ago

GPL

NDOA SIYO MWISHO WA MATATIZO, MCHUNGUZE KWANZA

Namshukuru Mungu kuona nina afya njema. Kabla sijaongea mengi leo nimekuja na mada hii ili kuwakumbusha wasichana wanaokimbilia ndoa halafu hawafiki mbali na ndoa zao wanaishia kuzivunja tena kwa mikiki na visasi. Nina visa vya kijana mmoja ambaye alinisimulia kuhusiana na mkasa wake wa mapenzi na kusema kuwa yeye alikuwa si mtu wa mademu sana na alifanya hivyo kutokana na malezi aliyolelewa na wazazi wake. “Sikuwahi kupenda...

 

10 years ago

GPL

ISHU SIYO MATATIZO BALI NAMNA TUNAVYOYAPOKEA NA KUYATATUA!

Kwanza kabisa nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye amenijaalia uzima na kunipa afya pamoja na nguvu za kutosha hivyo kuniwezesha kuendelea kutimiza yale ambayo naamini nastahili kuyatenda katika kila siku ya maisha yangu. Ndugu zangu, mwaka ndiyo umeanza hivyo! Najua wengi wetu tuna malengo ambayo tumepanga kuyatimiza ndani ya mwaka huu wa 2015. Hilo ni jambo jema na nikufahamishe tu kwamba, maisha bila malengo...

 

9 years ago

Mwananchi

MCHANGO WA MAWAZO: Tujadili matatizo ya Taifa letu, siyo wagombea

Tunapoelekea Uchaguzi Mkuu ni muhimu kuachana na mijadala kuhusu watu na vyama vyao vya siasa, kasumba ya kuwaabudu watu na kufikiri kwamba kuna mtu mmoja mwenye uwezo wa kuleta mabadiliko katika taifa letu, tuanze kujadili matatizo ya taifa letu. Tukiyajadili na kuyafahamu vizuri, pamoja tunaweza kufikiria ufumbuzi.

 

11 years ago

GPL

NDOA SIYO RAHA PEKEE, JIPANGE KWA MATATIZO PIA!

VIJANA wengi wa sasa wanatamani kuingia kwenye ndoa wakiwa na mitazamo mbalimbali; mingi mizuri. Nasema hivyo nikimaanisha kuwa, wanaamini wakiwa kwenye ndoa, watatimiza ndoto zao za muda mrefu. Hupiga picha kuhusu idadi ya watoto watakaozaa, namna watakavyowasomesha na jinsi ambavyo familia itakuwa yenye furaha. Kifupi wanafikiria zaidi kuhusu mambo ambayo yatawafurahisha. Kamwe hawapati muda wa kufikiria namna ya kukabiliana...

 

11 years ago

GPL

NDOA SIYO RAHA PEKEE, JIPANGE KWA MATATIZO PIA! - 2

NATAMANI kuona maisha ya kimapenzi ya vijana wa sasa yakiwa hayana migogoro. Ni furaha yangu kuona vijana wakifanikiwa katika kazi zao na maisha yao kwa ujumla. Maisha bora au utaratibu mzuri wa maisha unatokana na uhusiano mwema wa mhusika na mwenzake.Aliyegombana na mpenzi wake usiku uliopita, siku yake huwa nzito sana kazini. Kila anachokifanya hukumbuka ugomvi wa usiku ulivyokuwa. Kama mtu ataondoka nyumbani akiwa hana...

 

11 years ago

GPL

NDOA SIYO RAHA PEKEE, JIPANGE KWA MATATIZO PIA! - 3

NIMEFURAHI tumekutana tena hapa katika All About Love, safu ambayo inatengeneza maisha ya wengi kuhusu uhusiano wao. Bila shaka hata wewe umebadilika sana baada ya kuwa mdau wa kona hii. Hata hivyo, wale ambao ndiyo kwanza mmeanza kusoma ukurasa huu, mnatakiwa kujivunia sana maana ni sehemu sahihi zaidi ya kujifunza kuhusu uhusiano na maisha. Tunaangalia kuhusu ndoa, leo ikiwa ni sehemu ya mwisho.  Je, unawaza nini katika...

 

10 years ago

Bongo5

Chaka Khan amshauri Rihanna ‘Una sauti nzuri si lazima uoneshe mwili wako’

Muimbaji mkongwe wa Marekani, Chaka Khan amedai kuwa Rihanna ana sauti ya kutosha kuuza muziki bila hata kutumia mwili wake kufanya hivyo. Muimbaji huyo mwenye miaka 61 anaamini kuwa si muhimu kwa Rihanna na wasanii wengine kama Ariana Grande kuona ulazima wa kuvua nguo kwenye video zao za muziki au kwenye photoshoots ili kuuza nyimbo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani