chama cha wataanzania waishio ufaransa wasaidi kufanya usafi ubalozini katika kuadhimisha NYERERE DAY
![](http://1.bp.blogspot.com/-5w9upJaMyWc/VDwxswaUU6I/AAAAAAAGp_g/EGdkQi0zSag/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
Wanachama wa chama cha Watanzania waishio Ufaransa wakishiriki katika kufanya usafi katika ubalozi wa zamani jijini Paris ikiwa ni mojawapo ya shughuli za kuadhimisha Mwalimu Nyerere Day
Wanachama wa chama cha Watanzania waishio Ufaransa wakishiriki katika kufanya usafi katika ubalozi jijini Paris ikiwa ni mojawapo ya shughuli za Mwalimu Nyerere Day
Wanachama wa chama cha Watanzania waishio Ufaransa wakishiriki katika kufanya usafi katika ubalozi jijini Paris ikiwa ni mojawapo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-om561hzSRNY/Vmpl9tFQjXI/AAAAAAAILk8/wpaANuZO4M0/s72-c/AgG3Ui2mwJMoHx2WJlSJJgjIF0KeuZ6_kgEXoCXOc0DP.jpg)
MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAUNGANA NA KAMPUNI YA SARUJI YA DANGOTE KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU NA BAADAE BONANZA LA MICHEZO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-om561hzSRNY/Vmpl9tFQjXI/AAAAAAAILk8/wpaANuZO4M0/s640/AgG3Ui2mwJMoHx2WJlSJJgjIF0KeuZ6_kgEXoCXOc0DP.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-_UfMJOEQiIc/Vmpl_lWbDXI/AAAAAAAILlU/__MwgOyGPPQ/s640/AqveZdopwZHFBpiPoepzMj4VLm0Lma6XEp9hMFXY6CdU.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-T6qK-ie3y0U/Vmpl9qcON0I/AAAAAAAILlE/tuC2elMDZk4/s640/AofBcxIlfHHONd4L3WBx3D_DBxJ0YFsX4NHd4jQysETK.jpg)
10 years ago
MichuziMh. Mwakwembe azindua magari 54 ya Chama cha Madereva taxi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F-9RLDKjng-Y00nt7psopFF3eRA3DtOcjSRUH7l0ABGvtZ0MJ4xKcDjWkB4d8Owzz7yo*KPBgqPUVHNFrK*FA11h6nj20vsa/001.MTWARA.jpg?width=750)
CHAMA CHA WAANDISHI MTWARA CHAENDESHA ZOEZI LA USAFI NA KUPANDA MITI KATIKA HOSPITALI YA MKOA HUO
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qtwox7lrZtc/VmfqbR8rmXI/AAAAAAAILNo/uhfTqOfyGj4/s72-c/IMG_7109.jpg)
WANAFUNZI WA CHUO CHA KODI JIJINI DAR WATIMIZA WAJIBU KUFANYA USAFI KATIKA CHUO CHAO
CHUO cha Kodi cha Mwenge jijini Dar es Salam wameitikia wito wa kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Joseph Magufuli kufanya usafi katika mazingira ya Chuo hicho.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Edward Mwakimonga amewasihi wanafunzi pamoja na wananchi kwa ujumla kuwa usafi ni afya na ikiwezekana iwe ni kawaida kufanya usafi kila baada ya wiki mara moja ili kuweka mazingira safi.
Nae Waziri Mkuu wa serikali ya chuo cha Kodi, Jeremia Shushu amewashukuru wanafunzi pamoja...
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.
Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.
Hapa usafi ukiendelea.
Hapa ni kazi usafi ukifanyika.
Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Mchechu aongoza wafanyakazi wake kufanya usafi katika majengo ya NHC
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi katika majengo ya NHC na maeneo yanayozunguka barabara za Ali Hassan Mwinyi, Alikhan, Barak Obama na Magore UPANGA jijini Dar es Salaam leo. Menejimenti ya NHC imeamua kuwa kufanya usafi kwenye majengo ya Shirika ili kuonyesha kwa vitendo utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wa kuitumia Sikukuu ya Uhuru na Jamhuri...
5 years ago
MichuziTCRA YATOA ELIMU KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU -KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA HAKI YA MLAJI DUNIANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-B-IPDkj-bv0/Xmon_dW3kCI/AAAAAAAAQdI/2A_4eCW4JII3jNM1aUI4GFvqxhZxG9H5ACLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200311_132258.jpg)
Mkuu wa Kanda ya Kaskazini Mhandisi Imelda Salum akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru...
5 years ago
MichuziCHAMA CHA NCCR-MAGEUZI WAPO TEYARI KUSHIRIKIANA NA CHAMA CHOCHOTE KATIKA UCHAGUZI WA 2020
Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiCHAMA cha NCCR-Mageuzi kipo tayari kushirikiana na chama chochote kwa kuzingatia maslahi ya mapana ya Tanzania nakuzingatia utaratibu unaokubalika kikatiba na kisheria katika mchakato wote wa kushiriki uchaguzi Mkuu wa 2020.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5RXR3NvMiw0/U5392ogdL3I/AAAAAAAFq3g/E2pM6icn0dg/s72-c/unnamed+(59).jpg)
Wana Njia Panda washiriki kufanya usafi katika Hospitali ya Amana jijini Dar es salaam
![](http://3.bp.blogspot.com/-5RXR3NvMiw0/U5392ogdL3I/AAAAAAAFq3g/E2pM6icn0dg/s1600/unnamed+(59).jpg)
Mtangazaji wa Kipindi cha Redio cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds FM Dkt. Isack Maro akizungumza na mwandishi wa habari wa Zanzibar Media Bi. Sophia Kingimali wakatika wa zoezi la usafi katika Hospilali ya Amana iliyopo Ilala, jana jijini Dar es Salaam. Wananjiapanda wamejitolea kufanya shughuli za usafi katika Hospitali hiyo ikiwa ni kutoa mchango wao kwa jamii inayowazunguka.
![](http://1.bp.blogspot.com/-itKkrvfERUY/U5394jwQkMI/AAAAAAAFq20/5odHgJiJFNc/s1600/unnamed+(65).jpg)