Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chamwino washindia unga wa ubuyu

WAKAZI wa Kata ya Ikowa, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, wanakabiliwa na njaa na kulazimika kutumia unga wa ubuyu kama sehemu yao ya chakula cha kila siku. Inadaiwa wengine wamekuwa wakisaga pumba za mahindi ili kupata chakula.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI WILAYANI CHAMWINO -DODOMA, ATEMBELEA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MW. NYERERE KATIKA KIJIJI CHA CHAMWINO IKULU

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofika kwenye viwanja vya Ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Chamwino Ikulu, wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma Juni 22.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Picha zote na John Badi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard...

 

11 years ago

GPL

WASTARA ACHEKELEA UBUYU, KULIKONI?

Na Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameibua maswali baada ya kuonekana akifakamia ubuyu kwa wingi huku wengi wakidhani labda amenasa! Tehe! Wastara Juma. Mkali huyo wa hisia awapo mbele ya kamera, alinaswa na kamera yetu hivi karibuni akiwa lokesheni na wasanii wengine ambao nao pia walikula lakini si kwa sana kama yeye. Risasi Mchanganyiko lilimuweka mtu kati ambapo alisema: “Jamani... mimi napenda...

 

10 years ago

Bongo Movies

UBUYU:Bifu Jipya Lungi, Amanda

 Mwigizaji wa filamu, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni mmoja wao kumponda mwenziye akimsema kuwa anaenda nje kujiuza.

“Unaambiwa Lungi baada ya kuambiwa hivyo alikasirika na kumpigia simu Amanda wakaanza kutukanana kiasi cha kufikia hatua ya kutaka kuchapana,” kilisema change za GPL.

Baada ya habari hii kutua mezani, mwandishi wa GPL alizungumza na wote wawili ambapo Lungi alikiri kutofautiana na mwenzake kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA UJERUMANI ILIANGUSHWA MAKUSUDI {UBUYU}


Rubani Andreas Lubitz


Rubani wa ndege ya kampuni ya Germanywings ilioanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa siku ya jumanne alitaka kuiharibu ndege hiyo kulingana na maafisa wa Ufaransa.Kiongozi wa mashtaka katika mji wa Mersaille ,Brice Robin, akizungumza kulingana na habari aliyopata katika kijisanduku cha kunasa sauti katika ndege amesema kuwa rubani huyo alikuwa ndani ya chumba cha kuendesha ndege pekee.Rubani huyo kimakusudi aliishusha ndege hiyo kwa kasi huku rubani mwenza akiwa...

 

11 years ago

Habarileo

Adaiwa kuhonga ubuyu kulawiti watoto

MKAZI wa mmoja wa Kijiji cha Igurubi Tarafa ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwaingilia kimwili watoto wenye umri wa chini ya miaka kumi, baada ya kuwarubuni kwa kuwapa ubuyu na Sh 500 taslimu.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ubuyu:Wema, Aunt Kimenuka Kisa Zari

Gazeti la Risasi la leo limeripoti kuwa Mataa wa bongo movies ambao ni  mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kugombana baada ya Aunt ‘kuposti’ kwenye ukurasa wake wa Instagram tangazo lililohusiana na pati ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ iliyofanyika Mlimani City jijini Dar wikiendi iliyopita.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa mastaa hao wa sinema za Kibongo, baada ya Aunt kuposti...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari!

Mama wa Staa wa Bongo Movies,Wema Sepetu  anadaiwa kumzaba vibao askari wa kampuni binafsi. 

Kwa mujibu wa shuhuda watukio zima, tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi lilijiri kwenye Bandari ya Dar es Salaam, majira ya mchana Ijumaa iliyopita. Awali ya yote shuhuda huyo alihojiwa kama s kama anamjua vizuri mama Wema ambapo alithibitisha kuwa ni yeye huku akisapotiwa na wenzake waliokuwa wakisikika kwenye simu.

“Nani asiyemjua mama wa staa mkubwa kama Wema? Tena kafuatana na Wema...

 

10 years ago

Bongo Movies

UBUYU: Lulu na Jacqueline Wolper Waoneshana Jeuri ya Mabwana!

Warembo na waigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.

Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Ijumaa, wamebaini  kwamba, kumekuwa na kasumba ya baadhi ya mastaa hao kutambiana kuwa ni nani zaidi anayemiliki bwana mwenye mawe au mshiko kuliko wengine.

Inadaiwa kwamba, baada ya Lulu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani