Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari!
Mama wa Staa wa Bongo Movies,Wema Sepetu anadaiwa kumzaba vibao askari wa kampuni binafsi.
Kwa mujibu wa shuhuda watukio zima, tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi lilijiri kwenye Bandari ya Dar es Salaam, majira ya mchana Ijumaa iliyopita. Awali ya yote shuhuda huyo alihojiwa kama s kama anamjua vizuri mama Wema ambapo alithibitisha kuwa ni yeye huku akisapotiwa na wenzake waliokuwa wakisikika kwenye simu.
“Nani asiyemjua mama wa staa mkubwa kama Wema? Tena kafuatana na Wema...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MAMA WEMA AMZABA VIBAO ASKARI!
10 years ago
Bongo Movies06 May
Ubuyu:Wema, Aunt Kimenuka Kisa Zari
Gazeti la Risasi la leo limeripoti kuwa Mataa wa bongo movies ambao ni mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kugombana baada ya Aunt ‘kuposti’ kwenye ukurasa wake wa Instagram tangazo lililohusiana na pati ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ iliyofanyika Mlimani City jijini Dar wikiendi iliyopita.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa mastaa hao wa sinema za Kibongo, baada ya Aunt kuposti...
10 years ago
Bongo Movies18 Mar
Ubuyu: Wema Azua Timbwili Eti Kisa Ally Kiba!
Mrembo na Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ‘Madam’ anadaiwa kusababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva , Ally Kiba.
Kwa mujibu wa gazeti la Risasi Mchanganyiko, tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Triple A, jijini Arusha ambapo Wema alienda kwenye sherehe ya mmoja wa rafiki zake huku yeye akipewa ‘taito’ ya mgeni rasmi.
Chanzo cha gazeti hilo kilidokeza kuwa hivi karibuni, Kiba...
11 years ago
GPL
MAMA WEMA USIJISAU, WEWE NI MTU MZIMA!MAMA WEMA
10 years ago
Bongo Movies29 Jan
Ubuyu:Polisi Wamkamata Wema Sepetu Akidaiwa Kupiga Muziki Kwa Sauti Usiku
Katika hali ya kushangaza, polisi walijikuta wakipata shughuli pevu kumkamata staa asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Sepetu ambaye alidaiwa kupiga muziki kwa sauti kubwa usiku kucha pasipo kuwa na kibali, Amani linakupa mchapo.
Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita, nyumbani kwa mwigizaji huyo, Kijitonyama jijini Dar kulikokuwa na bethidei ya rafiki yake aliyejulikana kwa jina moja la Neema.
Awali, mapaparazi wa GPL walipokea simu ya mmoja wa majirani wa Wema ambaye alidai mwigizaji huyo...
11 years ago
Habarileo16 Jun
Mabasi UDA kuwa na vibao vinavyoonesha njia
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limekubaliana na Mamlaka ya Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) kuweka vibao katika mabasi yake kuonesha njia yanakotoa huduma na si kupaka rangi. Mkuu wa UDA, Hamdy Al Hadj alisema kibao kitakachowekwa kitakuwa na rangi ya eneo husika kama ilivyo kwa daladala nyingine.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Meya, Diwani wachapwa vibao na mgambo Arusha
NAIBU Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa Kata ya Levelosi, Ephata Nanyaro (wote CHADEMA), wamepigwa na kujeruhiwa na askari wa jiji (mgambo). Kutokana na tukio hilo,...
10 years ago
GPL
MAMA DIAMOND AMKARIBISHA WEMA
11 years ago
Vijimambo
KAJALA AMSHITAKI MAMA WEMA
Stori: Mwandishi WetuKIMENUKA! Habari ya mjini kwa sasa ni bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutimiza miaka 26 tangu kuzaliwa, lakini ndani ya tukio hilo, mengine yameibuka!
Miongoni mwa yaliyoibuka kwenye sherehe hiyo iliyofanyika Jumapili iliyopita nyumbani kwa Wema, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ni madai ya mama Wema, Mariam Sepetu kudaiwa kupewa nafasi ya kutoa ‘neno la hekima’ lakini akaitumia kumvurumishia...