Meya, Diwani wachapwa vibao na mgambo Arusha
NAIBU Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa Kata ya Levelosi, Ephata Nanyaro (wote CHADEMA), wamepigwa na kujeruhiwa na askari wa jiji (mgambo). Kutokana na tukio hilo,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo
Meya Chadema amdunda mgambo wa kike Arusha
NAIBU Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Prosper Msofe, anadaiwa kumpiga mgambo wa kike na kusababisha alazwe katika Hospitali ya Levolosi.
11 years ago
Mwananchi21 Apr
DC apinga Meya kufukuza mgambo
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Meya atwangana ngumi na diwani CHADEMA
OFISI za Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, jana ziligeuka uwanja wa masumbwi baada ya Mstahiki Meya, Henry Matata na madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuchapana...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Naibu Meya, Diwani watinga kizimbani
NA LILIANI JOEL,ARUSHA
Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Prosper Msofe (CHADEMA) na Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Arusha, Efata Nanyaro, jana walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, kujibu shitaka la kudhuru mwili.
Awali, viongozi hao ambao pia ni madiwani wa Jiji la Arusha, walifikishwa katika mahakama hiyo saa 3.05 asubuhi na kukalishwa eneo maalumu, lakini ghafla waliamriwa kukabidhi vifaa vyao pamoja na fedha kwa watu wao wa karibu na kuswekwa...
11 years ago
Dewji Blog17 Apr
Naibu Meya na Diwani wa Levolosi wapokea kichapo
Na Mahmoud Ahmad Arusha
Naibu Meya wa jiji la Arusha Prosper Msofe na diwani wa kata ya Levolosi Ephatar Nanyaro wamepokea kichapo kutoka kwa mgambo wa halmashauri ya jiji la Arusha kwenye yadi ya halmashauri hiyo iliyopo kwenye kata ya Levolosi jijini hapa.
Kadhia hiyo iliyowakuta madiwani hao waliokuwa wakifuatilia malalamiko ya wananchi hususani wafanyabiashara ndogondogo (Almaarufu machinga) waliokuwa wakilalamikia kunyanganywa mali zao na mgambo hao na kupekea vichapo kila...
11 years ago
Habarileo04 Jun
Naibu Meya, diwani kizimbani kwa shambulio
NAIBU Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Prosper Msofe (48) na Diwani wa kata ya Levolosi, Ephata Nanyaro (28) leo walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha/Arumeru, kujibu mashitaka ya shambulio la kudhuru mwili wa askari mgambo wa Jiji William Mollel.
9 years ago
MichuziJIJI LA MBEYA LAPATA MEYA MPYA DAVID MWASILINDI (CHADEMA) DIWANI KATA YA NZOVWE
9 years ago
MichuziARUSHA WAPATA MEYA MPYA
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10