Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naibu Meya na Diwani wa Levolosi wapokea kichapo

02052010506

Na Mahmoud Ahmad Arusha

Naibu Meya wa jiji la Arusha Prosper Msofe na diwani wa kata ya Levolosi Ephatar Nanyaro wamepokea kichapo kutoka kwa mgambo wa halmashauri ya jiji la Arusha kwenye yadi ya halmashauri hiyo iliyopo kwenye kata ya Levolosi jijini hapa.

Kadhia hiyo iliyowakuta madiwani hao waliokuwa wakifuatilia malalamiko ya wananchi hususani wafanyabiashara ndogondogo (Almaarufu machinga) waliokuwa wakilalamikia kunyanganywa mali zao na mgambo hao  na kupekea vichapo kila...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Naibu Meya, Diwani watinga kizimbani


NA LILIANI JOEL,ARUSHA
Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Prosper Msofe (CHADEMA) na  Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Arusha, Efata Nanyaro, jana walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, kujibu shitaka la kudhuru mwili.
Awali, viongozi hao ambao pia ni madiwani wa Jiji la Arusha, walifikishwa katika mahakama hiyo saa 3.05 asubuhi na kukalishwa eneo maalumu, lakini ghafla waliamriwa kukabidhi vifaa vyao pamoja na fedha kwa watu wao wa karibu na kuswekwa...

 

11 years ago

Habarileo

Naibu Meya, diwani kizimbani kwa shambulio

NAIBU Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Prosper Msofe (48) na Diwani wa kata ya Levolosi, Ephata Nanyaro (28) leo walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha/Arumeru, kujibu mashitaka ya shambulio la kudhuru mwili wa askari mgambo wa Jiji William Mollel.

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM yanyakua viti vya Mstahiki Meya na naibu Meya Halmashauri ya Manisspaa ya Singida

IMG_1325

Diwani wa kata ya Mughanga (CCM) manispaa ya Singida, Velerian Kimambo, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa,Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa, (16/12/2015), wamekula viapo rasmi tayari kuanza kuwatumikia wananchi.

IMG_1287

Diwani wa kata ya Mitunduruni (CHADEMA) manispaa ya Singida, Velerian Pantaleo Mastiko Sorongai, akiapa mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo mjini hapa, Zakaria Simoin. Madiwani 26 wa halmashauri ya manispaa wamekula viapo rasmi tayari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya atwangana ngumi na diwani CHADEMA

OFISI za Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, jana ziligeuka uwanja wa masumbwi baada ya Mstahiki Meya, Henry Matata na madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuchapana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya, Diwani wachapwa vibao na mgambo Arusha

NAIBU Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa Kata ya Levelosi, Ephata Nanyaro (wote CHADEMA), wamepigwa na kujeruhiwa na askari wa jiji (mgambo). Kutokana na tukio hilo,...

 

9 years ago

Michuzi

JIJI LA MBEYA LAPATA MEYA MPYA DAVID MWASILINDI (CHADEMA) DIWANI KATA YA NZOVWE

Meya Mteule wa jiji la Mbeya Diwani wa Kata ya Nzovwe(CHADEMA) Ndugu David Mwasilindi ambaye aliibuka kidedea kwa kupata kura 34 dhidi ya Mpinzani wake wa CCM aliyepata kura 14 katika uchaguzi uliofanyika Desemba 10 katika ukumbi wa Mkapa jijini humo. Katibu Tawala Wilaya ya Mbeya Ndugu Quip Mbeyela ambaye ndiye aliyekuwa Mwenyekiti katika Kikao cha Baraza la Madiwani ambacho kiliketi kufanya uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji hilo pamoja na Naibu Meya katika Halmashauri ya jiji la Mbeya . 

 

11 years ago

Tanzania Daima

Naibu Meya apanda kizimbani

NAIBU Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa Kata ya Levelos, Ephata Nanyaro, wote kutoka CHADEMA, wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kumshambulia mgambo wa jiji, William Mollel....

 

11 years ago

Habarileo

Mwanyemba awa naibu meya

DIWANI wa Kata ya Viwandani Jaffari Mwanyemba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechaguliwa kuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Dodoma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barua ya kiofisi yamwokoa Naibu Meya

NAIBU Meya wa Arusha, Prosper Msofe, amewasilisha mahakamani barua ya kusaini mkataba kati ya Tanzania na Singapore juu ya uandaaji wa mpango wa majiji ya Arusha na Mwanza ili kushawishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani