MAMA WEMA AMZABA VIBAO ASKARI!

Mwandishi Wetu/ijumaawikienda Haya ni madai mazito! Mama mzaa chema wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, Mariam Sepetu anadaiwa kumzaba vibao askari wa kampuni binafsi. Mama mzaa chema wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, Mariam Sepetu. UJIUNGE NA SHUHUDA Kwa mujibu wa shuhuda huyo, tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi lilijiri kwenye Bandari ya Dar es...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies09 Mar
Ubuyu:Mama Wema Amzaba Vibao Askari!
Mama wa Staa wa Bongo Movies,Wema Sepetu anadaiwa kumzaba vibao askari wa kampuni binafsi.
Kwa mujibu wa shuhuda watukio zima, tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi lilijiri kwenye Bandari ya Dar es Salaam, majira ya mchana Ijumaa iliyopita. Awali ya yote shuhuda huyo alihojiwa kama s kama anamjua vizuri mama Wema ambapo alithibitisha kuwa ni yeye huku akisapotiwa na wenzake waliokuwa wakisikika kwenye simu.
“Nani asiyemjua mama wa staa mkubwa kama Wema? Tena kafuatana na Wema...
11 years ago
GPL
MAMA WEMA USIJISAU, WEWE NI MTU MZIMA!MAMA WEMA
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Meya, Diwani wachapwa vibao na mgambo Arusha
NAIBU Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe na Diwani wa Kata ya Levelosi, Ephata Nanyaro (wote CHADEMA), wamepigwa na kujeruhiwa na askari wa jiji (mgambo). Kutokana na tukio hilo,...
11 years ago
Habarileo16 Jun
Mabasi UDA kuwa na vibao vinavyoonesha njia
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limekubaliana na Mamlaka ya Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) kuweka vibao katika mabasi yake kuonesha njia yanakotoa huduma na si kupaka rangi. Mkuu wa UDA, Hamdy Al Hadj alisema kibao kitakachowekwa kitakuwa na rangi ya eneo husika kama ilivyo kwa daladala nyingine.
10 years ago
GPL
MAMA WEMA, BADO TU HAUJIFUNZI?
11 years ago
Vijimambo
KAJALA AMSHITAKI MAMA WEMA
Stori: Mwandishi WetuKIMENUKA! Habari ya mjini kwa sasa ni bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutimiza miaka 26 tangu kuzaliwa, lakini ndani ya tukio hilo, mengine yameibuka!
Miongoni mwa yaliyoibuka kwenye sherehe hiyo iliyofanyika Jumapili iliyopita nyumbani kwa Wema, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ni madai ya mama Wema, Mariam Sepetu kudaiwa kupewa nafasi ya kutoa ‘neno la hekima’ lakini akaitumia kumvurumishia...
10 years ago
GPL
MAMA DIAMOND AMKARIBISHA WEMA
11 years ago
GPL
MAMA KANUMBA AMBARIKI WEMA
11 years ago
GPL
KAJALA AMSHTAKI MAMA WEMA!