Chapisho la Tatu la Taarifa za msingi za Kidemografia,kijamii na kiuchumi kuzinduliwa MEI 25, 2014
Frank Mvungi-Maelezo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Chapisho la Tatu la Taarifa za msingi za Kidemografia,kijamii na kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 katika ngazi ya Taifa. Hayo yamesemwa na Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ambapo uzinduzi huo utafanyika Mei 25, mwaka huu ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi24 May
Uzinduzi wa chapisho la Tatu la Taarifa za Msingi za Kidemografia, Kijamii na kiuchumi kufanyika Mei 25
Uzinduzi huo sasa utafanyika rasmi tarehe 10 Juni, 2014 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwl. Julius Nyerere uliopo mtaa wa Shaaban Robert jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Mgeni...
11 years ago
Michuzi11 Jun
NBS YAENDESHA SEMINA KUHUSU CHAPISHO LA TAARIFA ZA MSINGI ZA KIDEMOGRAFIA, KIJAMII NA KIUCHUMI KATIKA HOTELI YA PEACOCK
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/118.jpg)
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Rais Jakaya Kikwete azindua chapisho la tatu la taarifa za msingi za Sensa
Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dar es Saalam leo.
Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sqe4IM2nqQg/U5c-BKRZ1HI/AAAAAAAFpmA/jWmz6_dmjVQ/s72-c/unnamed.jpg)
Rais Kikwete azindua Chapisho la Tatu la Taarifa za Sensa
![](http://4.bp.blogspot.com/-sqe4IM2nqQg/U5c-BKRZ1HI/AAAAAAAFpmA/jWmz6_dmjVQ/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cA75xI_xrtQ/U4N3kYQoEMI/AAAAAAAFlL8/McB78BeziNU/s72-c/unnamed+(52).jpg)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA PWANI LEO MEI 26, 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-cA75xI_xrtQ/U4N3kYQoEMI/AAAAAAAFlL8/McB78BeziNU/s1600/unnamed+(52).jpg)
11 years ago
Michuzi05 May
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
UDA kuendelea kusaidia miradi ya kijamii, kiuchumi
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limethibitisha kuwa litaendelea kusaidia miradi ya uwezeshaji ya kiuchumi nchini, ili kusaidia kuinua ukuaji wa maendeleo ya kiuchumi nchini. Akizungumza wakati wa uzinduzi...
10 years ago
Michuzi12 Apr