Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzinduzi wa chapisho la Tatu la Taarifa za Msingi za Kidemografia, Kijamii na kiuchumi kufanyika Mei 25

Uzinduzi wa chapisho la Tatu la Taarifa za Msingi za Kidemografia, Kijamii na kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 (Basic Demographic and Socio-Economic Profile) katika ngazi ya Taifa uliokuwa umepangwa kufanyika siku ya jumapili tarehe 25 Mei, 2014 umeahirishwa.
Uzinduzi huo sasa utafanyika rasmi tarehe 10 Juni, 2014 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwl. Julius Nyerere uliopo mtaa wa Shaaban Robert jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Mgeni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Chapisho la Tatu la Taarifa za msingi za Kidemografia,kijamii na kiuchumi kuzinduliwa MEI 25, 2014

Frank Mvungi-Maelezo  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Chapisho la Tatu la Taarifa za msingi za Kidemografia,kijamii na kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 katika ngazi ya Taifa.  Hayo yamesemwa na Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ambapo uzinduzi huo utafanyika Mei 25, mwaka huu ...

 

11 years ago

Michuzi

NBS YAENDESHA SEMINA KUHUSU CHAPISHO LA TAARIFA ZA MSINGI ZA KIDEMOGRAFIA, KIJAMII NA KIUCHUMI KATIKA HOTELI YA PEACOCK

 1Bw. Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akitoa mada wakati wa semina kwa waandishi wa habari inayohusu Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kdemografia, Kijamii na Kiuchumi inayofanyika leo kwenye hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam ikihusisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali va habari, Jarida hilo lilizinduliwa jana na Rais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Kikwete kwenye ukumbi wa Mwalimu J. K. Nyerere International Conference jijini Dar es...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete azindua chapisho la tatu la taarifa za msingi za Sensa

IMG_5463

Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake  kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata  taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dar es Saalam leo.

IMG_5509

Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake  kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua Chapisho la Tatu la Taarifa za Sensa

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi chapisho la tatu la taarifa za msingi za kidemografia,kijamii na kiuchumi pamoja na tovuti katika kupata taarifa za Sensa na Makazi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl.Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.Viongozi wengine walioshiriki katika hafla ya uzinduzi huo kutoka kushoto ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Bibi Mariam Khan Mwakilishi wa UNFPA,Waziri Mkuu...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili { Donor Conference } kwa ajili ya kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar unatarajiwa kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu hapa Zanzibar baada kukamilika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA FEDHA -SAADA MKUYA AONGOZA UZINDUZI WA CHAPISHO KUU LA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI 2011-2012-TANZANIA BARA‏

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi akihutubia.Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Philippe Dongier, akihutubia katika hafla hiyo.Ofisa kutoka Shirika la Maendeleo la DPG, Sinikka Antila,akitoa hutuba fupi kwa wageni waalikwa.Meneja wa Mazingira na Uchambuzi wa Takwimu, Ofisi ya Taifa ya Takwimu (TBS), Sango Abas Simba, akitoa ufafanuzi wa masuala kadhaa kuhusu chapisho...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UDA kuendelea kusaidia miradi ya kijamii, kiuchumi

SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limethibitisha kuwa litaendelea kusaidia miradi ya uwezeshaji ya kiuchumi nchini, ili kusaidia kuinua ukuaji wa maendeleo ya kiuchumi nchini. Akizungumza wakati wa uzinduzi...

 

10 years ago

Michuzi

DSW yafungua Vituo 33 vya kuwaweza Vijana Kiuchumi na Kijamii

 Meneja Mkazi wa Miradi wa Shirika lisilo la Kiserikalilimalojishughulisha na masuala ya Changamaoto zitokanazo na ongezeko ya Idadi ya Watu Duniani DSW Bw. Avit Buchwa akizungumza na Afisa Habari kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Jonas Kamaleki wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Vijana yanayoendelea mkoani TaboraVijana wa DSW wakifafanua kuhusu progamu ya Kijana Kwa Kijana inayoendeshwa na Shirika l Meneja Mkazi wa Miradi wa Shirika lisilo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani