Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete azindua Chapisho la Tatu la Taarifa za Sensa

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi chapisho la tatu la taarifa za msingi za kidemografia,kijamii na kiuchumi pamoja na tovuti katika kupata taarifa za Sensa na Makazi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl.Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.Viongozi wengine walioshiriki katika hafla ya uzinduzi huo kutoka kushoto ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Bibi Mariam Khan Mwakilishi wa UNFPA,Waziri Mkuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete azindua chapisho la tatu la taarifa za msingi za Sensa

IMG_5463

Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake  kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata  taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dar es Saalam leo.

IMG_5509

Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake  kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana...

 

11 years ago

Michuzi

Chapisho la Tatu la Taarifa za msingi za Kidemografia,kijamii na kiuchumi kuzinduliwa MEI 25, 2014

Frank Mvungi-Maelezo  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Chapisho la Tatu la Taarifa za msingi za Kidemografia,kijamii na kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 katika ngazi ya Taifa.  Hayo yamesemwa na Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ambapo uzinduzi huo utafanyika Mei 25, mwaka huu ...

 

11 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa chapisho la Tatu la Taarifa za Msingi za Kidemografia, Kijamii na kiuchumi kufanyika Mei 25

Uzinduzi wa chapisho la Tatu la Taarifa za Msingi za Kidemografia, Kijamii na kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 (Basic Demographic and Socio-Economic Profile) katika ngazi ya Taifa uliokuwa umepangwa kufanyika siku ya jumapili tarehe 25 Mei, 2014 umeahirishwa.
Uzinduzi huo sasa utafanyika rasmi tarehe 10 Juni, 2014 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwl. Julius Nyerere uliopo mtaa wa Shaaban Robert jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Mgeni...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI DARAJA LA KIKWETE JUU YA MTO MALAGARASI MKOANI KIGOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Korea Kusini Mhe. Chung II, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga mara baada ya ufunguzi wa Daraja la Kikwete katika Mto Malagarasi.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akiwa pamoja na mkewe Mama Salma Kikwete katika picha ya pamoja na ujumbe wa Korea Kusini uliojenga Daraja la Kikwete...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal amwakilisha Rais Jakaya Kikwete, azindua HALOTEL TANZANIA

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, wakati walipokuwa kwenye Hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA TAARIFA YA 'THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE' YA VODAFONE FOUNDATION

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akiwahutubia waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Taarifa ya 'THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE' ya Vodafone Foundation. Uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Golden Tulip hapa Dar es Salaam tarehe 5.3.2014. Baadhi ya washiriki waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa Taarifa ya THE CONNECTED WOMEN INITIATIVE wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi...

 

11 years ago

Michuzi

NBS YAENDESHA SEMINA KUHUSU CHAPISHO LA TAARIFA ZA MSINGI ZA KIDEMOGRAFIA, KIJAMII NA KIUCHUMI KATIKA HOTELI YA PEACOCK

 1Bw. Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akitoa mada wakati wa semina kwa waandishi wa habari inayohusu Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kdemografia, Kijamii na Kiuchumi inayofanyika leo kwenye hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam ikihusisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali va habari, Jarida hilo lilizinduliwa jana na Rais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Kikwete kwenye ukumbi wa Mwalimu J. K. Nyerere International Conference jijini Dar es...

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli apokea taarifa rasmi ya Rais Mstaafu Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli amepokea taarifa rasmi ya makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu Mheshimiwa Jakaya Kikwete.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo mchana Ikulu jijini Dar es Salaam yakishuhudiwa na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Maafisa wa Ofisi Binafsi ya Rais.

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amekabidhi taarifa rasmi yenye kurasa 53 ambayo kwa ujumla inaelezea kazi zilizokwishakufanyika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete ametujaza hofu serikali tatu

WATANZANIA tulisubiri hotuba ya Rais Jakaya Kikwete ya kulifungua Bunge Maalumu la Katiba kwa hamu. Kulikuwa na sababu nyingi za kuisubiri hotuba hii ya ufunguzi wa Bunge Maalumu la Katiba,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani