Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chege: Bila Said Fella nitapotea kimuziki

Chege

Chege anaamini kuwa yeye pamoja na Mheshimiwa Temba hawawezi kufanya kazi za muziki bila kumtegemea bosi wao, Said ‘Mkubwa’ Fella.

Chege

Chege ambaye ameachia video ya wimbo Sweety Sweety aliowashirikisha Runtown na Uhuru, amekiambia kipindi cha FNL cha EATV kuwa bosi wao huyo amekuwa akisimamia kila kitu kwenye muziki wao.

“Sisi bado tupo chini ya Mkubwa Fella na kufanya kazi bila yeye tunaona tutayumba na kupotea,” alisema.

“Mimi mpaka leo sijui gharama ya video yangu mpya, kazi yote kafanya...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Said Fella: Bila kuwekeza fedha kwenye muziki msanii unapoteza tu muda

Mwanzilishi wa kundi la muziki Wanaume Family na Yamoto Band, Said Fella amesema kama msanii anataka kufanya muziki, lazima yeye au uongozi unaomsimamia wawekeze fedha kwenye muziki wake. Fella amewataka wasanii kuacha kuupeleka muziki wao kishkaji shkaji na waonyeshe nia ya dhati kwenye muziki wao. “Kila msanii ana malengo na muziki anaoufanya, ukiamua kuwa mwanamuziki […]

 

11 years ago

GPL

MBEYA CITY, ASHANTI WATOKA BILA BILA

Wachezaji wa Mbeya City (kulia) na Ashanti wakiwania mpira huku mvua kali ikiendelea kunyesha kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo Mbande nje kidogo ya Jiji la Dar. Steven Mazanda (8) na Deogratius Julius (mwenye mpira) wachezaji wa Mbeya City wakiwania mpira na mchezani wa Ashanti.…

 

10 years ago

GPL

COUNTRY BOY: KAJALA ALINITOA KIMUZIKI

Country Boy ndani ya studio za Global TV Online. STAA wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Ayoub Mandingo ‘Country Boy’ amefunguka siri iliyomfanya kung’aa katika gemu kwa mara ya kwanza kuwa ni staa wa filamu, Kajala ambaye alimlipia mtonyo wa studio. Akifunguka na Global TV Online, Country Boy anayebamba na ngoma ya Akili za Usiku, alisema Kajala alikuwa msaada mkubwa kwake katika kumuwezesha kifedha hivyo… ...

 

11 years ago

GPL

ULITAKA KUTOKA AU MAFANIKIO KIMUZIKI? KWAKO,

Msanii chipukizi wa Bongo Fleva,'Mo Music' akipozi. Mo Music. Bila shaka u mzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kila siku vyema. Kama ndivyo, kwangu ni furaha. Miye nipo sawa naendelea na mchakamchaka wa kusaka mkate wa kila siku. Kwa mara ya kwanza ninakuandikia barua, eneo ambalo huwa nalitumia kuwasiliana na wasanii mbalimbali wa Tanzania na watu maarufu kwenye jamii. Lengo ni kuwekana sawa ili sanaa yetu iendelee...

 

11 years ago

GPL

SNURA: WEMA NDIYO ALIYENITOA KIMUZIKI

Snura Mushi ‘Mama Majanga’. Stori: Gladness Mallya
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi ‘Mama Majanga’ ametoa ya moyoni na kumshukuru aliyekuwa rafiki yake wa damu, Wema Sepetu kwa kuwa ndiye aliyembunia vazi la muziki na fedha ya kurekodi wimbo wake wa kwanza.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Janet Jackson aahirisha ziara ya kimuziki

Mwanamuziki nyota kutoka Marekani Janet Jackson ameahirisha ziara yake ya kimuziki ya Unbreakable ili kufanyiwa upasuaji.

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Bongo5

Naogopa mwanangu asishuke kimuziki — Mama Diamond

Mama yake mzazi na Diamond, Sanura Kasim amesema kitu kinachomkosesha raha siku zote ni kuwaza itakuaje kama mwanae akishuka kimuziki! Ameiambia Bongo5 kuwa kama mama mara nyingi anakuwa na wasiwasi juu ya maisha ya mwanae. “Muziki una changamoto sana kama hujakaza unaanguka,” alisema. “Nakuwaga na wasiwasi mwanangu kama akishuka! Kwa sababu washindani wapo wengi, unajifiria […]

 

10 years ago

Mwananchi

Angel ataja sababu zinazowakwamisha wanawake kimuziki

Msanii aliyewahi kutamba katika Mashindano ya Tusker Project Fame 2013, Angella Karashani maarufu Angel, amesema kuwa uhaba wa mameneja wa kike ni miongoni mwa sababu zinazokwamisha maendeleo ya muziki kwa wanawake nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani