Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheka ajifua kwa saa tatu

Sitaki mzaha! Ni kauli aliyoitoa kocha wa  bondia Francis ‘SMG’ Cheka, Abdallah ‘Comando’  Salehe baada ya jana jioni kumwanzishia bondia wake  mazoezi ya stamina na kumtaka kujifua gym kwa saa tatu bila  kupumzika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wafunga Njiapanda Himo kwa saa tatu

Polisi mkoani Kilimanjaro jana walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mamia ya wananchi wakiwamo wanafunzi waliokuwa wamefunga Barabara ya Moshi - Dar kwa mawe.

 

10 years ago

Vijimambo

Mke wa Slaa ahojiwa polisi kwa saa tatu.

Dk. Willibrod Slaa na mke wake Josephine Mushumbusi.
Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, jana alitoa ushahidi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam, kuhusiana na tuhuma zinazomkabili Khalid Kagenzi, za kutaka kumdhuru mumewe.

Kutokana na hatua hiyo ya Mushumbusi, Dk. Slaa alisema tayari wamefunga ushahidi kwa upande wake. Mushumbusi ambaye aliongozana na mumewe, Dk. Slaa walifika katika kituo hicho saa 4:00...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Jeshi jipya la Stars kujifua kwa saa tatu

BAADHI ya sura mpya zilizoitwa mwanzoni mwa wiki hii kwa ajili ya kuongezea nguvu kikosi cha timu ya taifa ya soka Tanzania, ‘Taifa Stars’ kimekamilika na wachezaji hao jana waliungana na wenzao katika mazoezi Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.

Stars inayojiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria, Septemba 5 katika Uwanja wa Taifa jijini hapa imeingiza sura mpya baada ya wachezaji wa klabu za Yanga na Azam FC, kushindwa kuwasili kambini kutokana na kutumikia klabu zao. Akizungumza...

 

11 years ago

GPL

Yanga yakaa kikao na Kaseja kwa saa tatu

Juma Kaseja. Na Lucy Mgina
BAADA ya kutua Yanga KOCHA wa makipa wa Yanga, Razack Siwa, amesema alitumia zaidi ya saa tatu kumweka sawa kisaikolojia kipa Juma Kaseja siku moja baada ya mechi dhidi ya Simba. Kaseja alitupiwa lawama kibao kutoka kwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kutokana na kuruhusu bao jepesi kwenye mechi dhidi ya watani wao, Simba, Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali yaua, magari yakwama kwa saa tatu Dar- Moro

 Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya basi dogo kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Bwawani Barabara ya Chalinze - Morogoro.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES: NEC YA CCM Inapiga kura sasa kupata tatu bora. Saa tatu usiku mkutano unakaa kuamua jina moja

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jioni hii juu ya kilichofanyika kwenye Mkutano wa Hamlashauri Kuu ya CCM, ambapo amesema kuwa sasa NEC inapiga kura kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika Usiku wa leo majira ya saa tatu, kwenye Ukumbi wa Dodoma Convition Centre.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUU WA CCM KUFANYIKA LEO SAA TATU USIKU

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia kuwa Mkutano Mkuu wa CCM utafanyika leo saa tatu usiku na zoezi linaloendelea sasa ni upigaji kura za kupata majina matatu yatakayopelekwa kwenye mkutano mkuu ili kupatikana moja la mgombea wa Urais kwa kupitia CCM.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani