Yanga yakaa kikao na Kaseja kwa saa tatu
![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXsHBQ45TKO5-JHifymw3eexGPni1yYgw-nVofwipTbaX-00jKI1FLEiCNd8DvIQIJrdaqQP6ThY6Q0FWZK1jCJD/yanga.gif?width=650)
Juma Kaseja. Na Lucy Mgina BAADA ya kutua Yanga KOCHA wa makipa wa Yanga, Razack Siwa, amesema alitumia zaidi ya saa tatu kumweka sawa kisaikolojia kipa Juma Kaseja siku moja baada ya mechi dhidi ya Simba. Kaseja alitupiwa lawama kibao kutoka kwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kutokana na kuruhusu bao jepesi kwenye mechi dhidi ya watani wao, Simba, Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Maiti yakaa eneo la ajali saa 21
MWILI wa Idd Shamba aliyefariki dunia kwa ajali ya barabarabi katika Kijiji cha Engaruka wilayani hapa, imekaa barabarani kwa zaidi ya saa 21 ikisubiri polisi na daktari kufika eneo la...
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Cheka ajifua kwa saa tatu
10 years ago
Michuzi02 Jul
9 years ago
Michuzi01 Nov
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Wafunga Njiapanda Himo kwa saa tatu
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Jeshi jipya la Stars kujifua kwa saa tatu
Stars inayojiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria, Septemba 5 katika Uwanja wa Taifa jijini hapa imeingiza sura mpya baada ya wachezaji wa klabu za Yanga na Azam FC, kushindwa kuwasili kambini kutokana na kutumikia klabu zao. Akizungumza...
10 years ago
Vijimambo31 Mar
Mke wa Slaa ahojiwa polisi kwa saa tatu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Dr%20Slaa%20na%20Mkewe-31March2015.jpg)
Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, jana alitoa ushahidi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam, kuhusiana na tuhuma zinazomkabili Khalid Kagenzi, za kutaka kumdhuru mumewe.
Kutokana na hatua hiyo ya Mushumbusi, Dk. Slaa alisema tayari wamefunga ushahidi kwa upande wake. Mushumbusi ambaye aliongozana na mumewe, Dk. Slaa walifika katika kituo hicho saa 4:00...
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Ajali yaua, magari yakwama kwa saa tatu Dar- Moro
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-E-86ibUWW6E/VaElR8-KhZI/AAAAAAAHo2o/sPDoi-_3VsY/s72-c/20150711071224.jpg)
NEWS UPDATES: NEC YA CCM Inapiga kura sasa kupata tatu bora. Saa tatu usiku mkutano unakaa kuamua jina moja
![](http://3.bp.blogspot.com/-E-86ibUWW6E/VaElR8-KhZI/AAAAAAAHo2o/sPDoi-_3VsY/s640/20150711071224.jpg)