Cheka kizimbani kwa kujeruhi
BONDIA nyota wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka (30) maarufu kama SMG, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro kujibu shitaka la kujeruhi. Mbele ya hakimu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo05 Aug
Waumini Moravian kizimbani kwa kujeruhi
WAUMINI watatu wa Kanisa la Moravian Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu mashitaka ya kumjeruhi askari wa Jeshi la Polisi.
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Diwani Kata ya Ubungo kizimbani kwa kujeruhi
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Kizimbani kwa kujeruhi, kumtembeza utupu mwenzake
ZAITUNI Ally (30) mkazi wa manispaa ya Morogoro amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Morogoro kwa tuhuma za kujeruhi na kumdhalilisha mwanamke mwenzie kwa kumtembeza mtupu mbele...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Mwanamke mbaroni kwa kujeruhi kwa maji ya moto
JESHI la Polisi mkoani Singida linamshikilia mkazi wa Misuna, katika Manispaa ya Singida, Mary Muna (31) kwa tuhuma ya kumuunguza kwa maji ya moto mwilini mwanamke mwenzake kutokana na wivu...
10 years ago
Vijimambo
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
11 years ago
Habarileo11 Feb
7 mbaroni kwa kujeruhi Mbunge
WATU saba wanashikiliwa na Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumjeruhi Mbunge wa Mbeya Vijijini, Luckson Mwanjale.
11 years ago
Habarileo08 Oct
Diwani kortini kwa kujeruhi watendaji
DIWANI wa Kata ya Mwangeza katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Petro Mliga (50) pamoja na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Singida wakikabiliwa na shitaka la kupiga na kujeruhi watendaji.
11 years ago
GPL
MSANII BEN ASAKWA KWA KUJERUHI
10 years ago
Habarileo08 Oct
Msigwa, wenzake kortini kwa kujeruhi polisi
MGOMBEA Ubunge jimbo la Iringa Mjini kupitia Chadema, Mchungaji Peter Msigwa na wenzake watatu, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Iringa wakituhumiwa kushambulia na kujeruhi askari polisi wawili.