Cheka mbaroni, amtwanga mtu baa
Bingwa wa ngumi za kulipwa duniani, Francis Cheka ‘SMG’ akiwa amebebwa na mashabiki wake.(Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia bingwa wa ngumi za kulipwa duniani, Francis Cheka ‘SMG’ kwa tuhuma za kumchapa Meneja wa baa ya Vijana Social Hall iliyopo Kata ya Sabasaba, Manispaa ya Morogoro.
Kwa mujibu wa maelezo ya meneja huyo, Bahati Kabanda ‘Masika’ (39), Cheka alifika katika baa hiyo majira ya jioni na kuanza kumtukana na kumshambulia kwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Cheka mbaroni, ampiga mtu baa
JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia bingwa wa ngumi za kulipwa duniani, Francis Cheka ‘SMG’ kwa tuhuma za kumchapa Meneja wa baa ya Vijana Social Hall iliyopo Kata ya Sabasaba,...
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Cheka amtwanga Mthailand, kuzichapa na Muiran
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka, juzi aliibuka kidedea kwa kumtwanga Mthailand, Kiatchai Singwancha kwa TKO (Technical Knock Out) raundi ya nane.
Mara baada ya ushindi huo, Cheka atapanda tena ulingoni mwishoni mwa Julai mwaka huu kupambana na Sajjad Mehrabi raia wa Iran.
Katika pambao hilo la raundi 10 (Kg 79) lililofanyika kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba, Cheka alimdhibiti mpinzani wake huyo ambaye aliumia mkono raundi ya nane na kushindwa...
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Hakimu mbaroni kwa kumpiga mtu risasi
9 years ago
StarTV30 Oct
Mtu Mmoja mbaroni kwa kukutwa na Bastola 1, risasi 9
Polisi mkoani Tanga imemkamata mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Bashiru Hamis maarufu kama Hazari mwenye umri wa miaka 42 mkazi wa Ilala jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na Bastola 1 yenye namba C. 1193 na risasi 9 kwenye magazini.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Zuberi Mwombeji amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa katika kijiji cha Tengwe wakati akielekea kufanya uhalifu kwenye vituo vya mafuta vilivyopo katika mji wa Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Vijimambo21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
10 years ago
GPLAMTWANGA MKEWE AKIDAI AMEMFUMANIA
11 years ago
Habarileo12 Jan
Mwanri amtwanga mkwara mzito Mkurugenzi Maswa
NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Aggrey Mwanri amempa siku 30 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu kuhakikisha wazee wanaostahili kupewa matibabu bure wanaorodheshwa haraka.
10 years ago
VijimamboMAKONDA AMTWANGA CHUPA WARIOBA LIVE BILA CHENGA
Jaji Wariba akitulizwa na baadhi ya watu na polisi aliyekuwepo hapo kwenye mdahalo wa katiba uliofanyika leo Jumapili Novemba 2, 2014 jijini Dar.
Watu wakipata na mshangao wakijiuliza maswali mengi yasikua na majibuPalikua patashika nguo chanika
Kwa upande wake Gwiji La masuala ya habari nchini na Mhariri wa Gazeti la...
10 years ago
Michuzi22 Dec
BONDIA TWAHA KASSIM WA MOROGORO AMTWANGA KWA KO MUSSA CHITEPETE WA SONGEA
Bondia Mussa Chitepete wa Songea akiwa chini baada ya kupokea konde zito kutoka kwa Twaha Kassim wa Morogoro wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki. Kassim alishinda kwa KO ya raundi ya 6