Cheka amtwanga Mthailand, kuzichapa na Muiran
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka, juzi aliibuka kidedea kwa kumtwanga Mthailand, Kiatchai Singwancha kwa TKO (Technical Knock Out) raundi ya nane.
Mara baada ya ushindi huo, Cheka atapanda tena ulingoni mwishoni mwa Julai mwaka huu kupambana na Sajjad Mehrabi raia wa Iran.
Katika pambao hilo la raundi 10 (Kg 79) lililofanyika kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba, Cheka alimdhibiti mpinzani wake huyo ambaye aliumia mkono raundi ya nane na kushindwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo29 May
Kwa mara ya kwanza tangu atoke jela, Francis Cheka apima uzito kuzichapa na Mthailand kesho!

BONDIA Francis Cheka wa Tanzania na Kiatchai Singwancha kutoka Thailand wamepima uzito leo kwenye ukumbi wa Green Grill uliopo maeneo ya Victoria jijini Dar es Salaam tayari kwa pambano lao linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Masumbwi.Pambano hilo litapigwa kesho usiku kwenye ukumbi wa PTA Manispaa ya Temeke.
Cheka na Singwancha watazichapa kwenye pambano hilo la raundi 10 lisilo na ubingwa wowote, lakini ni mabondia hao wawili wanatafuta kulinda heshima.
Singwancha alitua Dar jana...
10 years ago
GPLCHEKA, MTHAILAND WAPIMWA UZITO
11 years ago
GPL
MIYEYUSHO AGONGWA KO NA MTHAILAND, CHEKA HOI
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Cheka mbaroni, amtwanga mtu baa
Bingwa wa ngumi za kulipwa duniani, Francis Cheka ‘SMG’ akiwa amebebwa na mashabiki wake.(Picha na Maktaba).
Na Mwandishi wetu
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia bingwa wa ngumi za kulipwa duniani, Francis Cheka ‘SMG’ kwa tuhuma za kumchapa Meneja wa baa ya Vijana Social Hall iliyopo Kata ya Sabasaba, Manispaa ya Morogoro.
Kwa mujibu wa maelezo ya meneja huyo, Bahati Kabanda ‘Masika’ (39), Cheka alifika katika baa hiyo majira ya jioni na kuanza kumtukana na kumshambulia kwa...
10 years ago
GPLCHEKA NOMA! AMPIGA MTHAILAND KWA TKO, AMTOA VIDAMU PUANI
10 years ago
VijimamboBONDIA FRANCIS CHEKA ALIVYO MSAMBALATISHA MTHAILAND KWA T.K.O YA RAUNDI YA NANE
10 years ago
Habarileo01 Oct
Mashali, Cheka kuzichapa Krismasi
MABONDIA Thomas Mashali na Francis Cheka watapanda ulingoni Desemba 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro katika pambano lisilo la ubingwa. Pambano hili lisilokuwa na ubingwa litakuwa la raundi 12.
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Cheka amwaga wino kuzichapa na Mrusi
BONDIA mahiri wa ngumi za kulipwa Tanzania, Francis Cheka, jana alimwaga wino kupigana na Mrusi, Valey Brudov, mwezi ujao huku akiitupia lawama serikali kwa kutothamini wanamichezo hapa nchini. Cheka, bondia...