CHEKA, MTHAILAND WAPIMWA UZITO
Promota wa pambano hilo, Kaike Siraju (katikati) akiwatambulisha mabondia hao mbele ya waandishi (hawapo pichani). Bondia Cheka akipima uzito. Mthailand, Kitschai Singwancha akipima uzito.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo29 May
Kwa mara ya kwanza tangu atoke jela, Francis Cheka apima uzito kuzichapa na Mthailand kesho!
BONDIA Francis Cheka wa Tanzania na Kiatchai Singwancha kutoka Thailand wamepima uzito leo kwenye ukumbi wa Green Grill uliopo maeneo ya Victoria jijini Dar es Salaam tayari kwa pambano lao linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Masumbwi.Pambano hilo litapigwa kesho usiku kwenye ukumbi wa PTA Manispaa ya Temeke.
Cheka na Singwancha watazichapa kwenye pambano hilo la raundi 10 lisilo na ubingwa wowote, lakini ni mabondia hao wawili wanatafuta kulinda heshima.
Singwancha alitua Dar jana...
11 years ago
GPLMIYEYUSHO AGONGWA KO NA MTHAILAND, CHEKA HOI
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Cheka amtwanga Mthailand, kuzichapa na Muiran
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka, juzi aliibuka kidedea kwa kumtwanga Mthailand, Kiatchai Singwancha kwa TKO (Technical Knock Out) raundi ya nane.
Mara baada ya ushindi huo, Cheka atapanda tena ulingoni mwishoni mwa Julai mwaka huu kupambana na Sajjad Mehrabi raia wa Iran.
Katika pambao hilo la raundi 10 (Kg 79) lililofanyika kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba, Cheka alimdhibiti mpinzani wake huyo ambaye aliumia mkono raundi ya nane na kushindwa...
10 years ago
GPLCHEKA NOMA! AMPIGA MTHAILAND KWA TKO, AMTOA VIDAMU PUANI
10 years ago
VijimamboBONDIA FRANCIS CHEKA ALIVYO MSAMBALATISHA MTHAILAND KWA T.K.O YA RAUNDI YA NANE
11 years ago
Michuzi12 Apr
MABONDIA MIYEYUSHO, CHEKA, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA
10 years ago
Vijimambo21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
10 years ago
VijimamboWagonjwa wa malaria wapimwa kwa macho
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili katika zahanati ya Mtepeche kata ya Kilimani Hewa, tarafa ya Nambambo na zahanati ya Kihuwe kata ya Naipingo, tarafa ya Naipanga wilaya ya Nachingwea, umebaini kuwepo kwa tatizo hilo.
Waganga wa zahanati hizo, walisema kukosekana kwa vipimo vya kupimia...