MIYEYUSHO AGONGWA KO NA MTHAILAND, CHEKA HOI
![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2MLsi0M*iQCOIECO6fu6nRXf2dEfjCgpl9PcFlX4AXTy7NiEi486Om7Mn*U1y705NpXmP2QNvhlEC4ezoJbtYQd/CHEKANAGAVAD1.jpg?width=650)
Francis Cheka akitupiana makonde na bondia kutoka Iran, Gavad Zohrehvand. Cheka akimkabili Gavad. Mabondia hao…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLCHEKA, MTHAILAND WAPIMWA UZITO
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Cheka amtwanga Mthailand, kuzichapa na Muiran
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka, juzi aliibuka kidedea kwa kumtwanga Mthailand, Kiatchai Singwancha kwa TKO (Technical Knock Out) raundi ya nane.
Mara baada ya ushindi huo, Cheka atapanda tena ulingoni mwishoni mwa Julai mwaka huu kupambana na Sajjad Mehrabi raia wa Iran.
Katika pambao hilo la raundi 10 (Kg 79) lililofanyika kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba, Cheka alimdhibiti mpinzani wake huyo ambaye aliumia mkono raundi ya nane na kushindwa...
10 years ago
GPLCHEKA NOMA! AMPIGA MTHAILAND KWA TKO, AMTOA VIDAMU PUANI
10 years ago
VijimamboBONDIA FRANCIS CHEKA ALIVYO MSAMBALATISHA MTHAILAND KWA T.K.O YA RAUNDI YA NANE
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Miyeyusho, Cheka washindwa kutamba
MABONDIA wa Tanzania, Francis Miyeyusho ‘Chichi Mawe’ na Francis Cheka ‘SMG’, juzi walishindwa kupeperusha vema bendera ya Tanzania katika mapambano yao ya kimataifa yaliyopigwa Ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar...
11 years ago
TheCitizen21 Apr
Miyeyusho humiliated as Cheka earns draw
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Mapambano ya Cheka, Miyeyusho yasogezwa mbele
10 years ago
Vijimambo29 May
Kwa mara ya kwanza tangu atoke jela, Francis Cheka apima uzito kuzichapa na Mthailand kesho!
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/05/cheka-3.jpg)
BONDIA Francis Cheka wa Tanzania na Kiatchai Singwancha kutoka Thailand wamepima uzito leo kwenye ukumbi wa Green Grill uliopo maeneo ya Victoria jijini Dar es Salaam tayari kwa pambano lao linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Masumbwi.Pambano hilo litapigwa kesho usiku kwenye ukumbi wa PTA Manispaa ya Temeke.
Cheka na Singwancha watazichapa kwenye pambano hilo la raundi 10 lisilo na ubingwa wowote, lakini ni mabondia hao wawili wanatafuta kulinda heshima.
Singwancha alitua Dar jana...
11 years ago
Michuzi20 Apr
MABONDIA CHEKA, MIYEYUSHO WASHINDWA KUTAMBA; KING CLASS MAWE AMSAMBARATISHA MUSTAFA DOTO