Miyeyusho humiliated as Cheka earns draw
Francis Miyeyusho had a gloomy moment on Saturday night as he suffered a technical knockout (TKO) in the first round at the hands of Thailand’s Sukkassem Kietyongyuth at PTA Hall.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Miyeyusho, Cheka washindwa kutamba
MABONDIA wa Tanzania, Francis Miyeyusho ‘Chichi Mawe’ na Francis Cheka ‘SMG’, juzi walishindwa kupeperusha vema bendera ya Tanzania katika mapambano yao ya kimataifa yaliyopigwa Ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar...
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Mapambano ya Cheka, Miyeyusho yasogezwa mbele
Pambano la Francis Cheka na Varely Brudov wa Russia limesogezwa mbele hadi Aprili 5 wakati lile la Francis Miyeyusho na Viktor Chernous wa Ukraine sasa litafanyika Machi Mosi kwenye ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam.
11 years ago
GPLMIYEYUSHO AGONGWA KO NA MTHAILAND, CHEKA HOI
Francis Cheka akitupiana makonde na bondia kutoka Iran, Gavad Zohrehvand. Cheka akimkabili Gavad. Mabondia hao…
11 years ago
Michuzi20 Apr
MABONDIA CHEKA, MIYEYUSHO WASHINDWA KUTAMBA; KING CLASS MAWE AMSAMBARATISHA MUSTAFA DOTO
Bondia Francis Cheka (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Jumamosi jijini Dar es salaam. Mpambano huo uliamuliwa kwa droo ya kufungana point
Bondia Francis Cheka kushoto akipambana na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano huo uliamuliwa kwa droo ya...
11 years ago
Michuzi12 Apr
MABONDIA MIYEYUSHO, CHEKA, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA
Bondia Mustafa Dotto (kushoto) akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi katikati ni Promota Jay Msangi
Bondia Ibrahimu 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam
Bondia Sukkasem Kietyongyuth kushoto akiwa na kocha wake Win Panyaparichot wakati wa upimaji uzito
Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi...
10 years ago
BBCSierra Leone 'humiliated' by Ebola
Sierra Leone international Michael Lahoud says his team feel baldy treated because of the stigma of Ebola.
10 years ago
Vijimambo21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
11 years ago
Mwananchi05 Apr
Miyeyusho ayayushwa
Pambano la bondia Francis Miyeyusho na Ronald Pontillas wa Ufilipino lililokuwa lifanyike leo limeahirishwa hadi Aprili 12, kutokana na sababu ambazo ziko juu ya uwezo wa waandaaji.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania