Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chenge ‘kizimbani’, aweka kigingi kizito

Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge akitoka katika ukumbi wa Karimjee kuhojiwa na Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma kuhusu sakata la uchotwaji wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow, Dar es Salaam jana. (Picha na Fadhili Akida).BARAZA la Maadili ya Viongozi wa Umma limelazimika kuahirisha kusikiliza shauri, linalomhusu mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, baada ya mwanasiasa huyo kuwasilisha pingamizi la kuzuia kusikilizwa shauri lake, kutokana na kesi ya msingi inayoendelea Mahakama Kuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive: Chenge apandishwa ‘kizimbani’ ahojiwa kukiuka maadili ya viongozi wa umma

DSCN9001

Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge akijianda kutoka nje ya ukumbi wa Karimjee ausbuhi ya leo.

…Maamuzi magumu kutolewa kesho Februari 26

 Na Andrew Chale wa modewjiblog 

LISAA limoja lililopita Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge amepandishwa kizimbani  katika kikaango cha kukiuka maadili ya viongozi wa umma, chini ya Tume  ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Baraza la Maadili lililoketi,  jijini Dar es Saalam asubuhi ya leo.

Katika shauri linalomkabili Chenge ni dhidi ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Makaidi akumbana na kigingi Masasi

Mgombea ubunge Jimbo la Masasi mkoani Mtwara kupitia Chama cha NLD, Emmanuel Makaidi amepata wakati mgumu baada ya wakazi wa jimbo hilo kuendelea kumkataa kwa madai kuwa siyo chaguo lao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kusotea ajira kigingi cha maendeleo

TATIZO la ukosefu wa ajira nchini linazidi kuongezeka kila kukicha. Vijana wanaomaliza vyuo vikuu kila mwaka wanakadiriwa kuwa 500,000, lakini wanaoajiriwa ni 30,000. Hii ni dhahiri kuwa idadi kubwa ya...

 

10 years ago

GPL

CHENGE, CHENGE, CHENGE TENA?

Makala: Ojuku Abraham
KAMA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwa bado anatawala nchi hii, ni watu wachache sana wangeweza kulijua jina la Andrew Chenge, yule mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali, aliyekaa katika ofisi hiyo kubwa na yenye heshima, kuanzia mwaka 1993 hadi 2005. Lakini katika nchi ambayo inaendeshwa kwa hila na dili, jina hili linajipatia umaarufu na kuenziwa, bila kujali ni kwa kiasi gani, Watanzania zaidi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

HALIMA JAMES MDEE: Mwanamke aliyeruka kigingi cha kutoolewa

LEO katika safu yetu ya Mwana Mama tunawaletea Halima James Mdee, mbunge wa Kawe, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Huyu ni mbunge kijana ambaye baada ya...

 

5 years ago

Michuzi

KIZITO MIHIGO AFARIKI AKIWA KIZUIZINI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

BAADA ya siku tatu tangu Mamlaka ya upelelezi nchini Rwanda kutangaza kumshikilia mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini humo Kizito Mihigo kwa tuhuma za kujaribu kuvuka mpaka na kwenda kujiunga na vikosi vinavyopinga Serikali ya Rwanda pamoja na kushutumiwa kwa vitendo vya rushwa leo Februari 17 jeshi la polisi nchini humo limetangaza kuwa maiti ya Kizito imepatikana ndani ya chumba alichokua amezuiwa  katika kituo cha polisi cha Remera mjini Kigali.

Polisi...

 

10 years ago

GPL

FAMILIA YA MBASHA KIKAO KIZITO DAR

Stori: Waandishi Wetu/Ijumaa Wikienda SIKU chache baada ya kuibuka utata mkubwa juu ya kichanga cha kike cha mwimba Injili maarufu Bongo, Flora Mbasha huku mitandao ya kijamii ikieleza kwamba baba wa mtoto huyo si aliyekuwa mume wa mwanamuziki huyo, Emmanuel Mbasha ‘Ima’, familia ya mwanaume huyo inadaiwa kufanya kikao kizito jijini Dar ili kupata ufumbuzi, Ijumaa Wikienda linakujuza. Mwimba Injili maarufu Bongo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hongera Yanga, kibarua kizito chawasubiri Cairo

TIMU ya soka ya Yanga ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa, mwishoni mwa wiki walipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi wa Ligi ya...

 

5 years ago

BBC

Kizito Mihigo: Singer found dead in Rwandan police cell

The singer was arrested near the border with Burundi and accused of attempting to flee the country.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani