Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAMILIA YA MBASHA KIKAO KIZITO DAR

Stori: Waandishi Wetu/Ijumaa Wikienda SIKU chache baada ya kuibuka utata mkubwa juu ya kichanga cha kike cha mwimba Injili maarufu Bongo, Flora Mbasha huku mitandao ya kijamii ikieleza kwamba baba wa mtoto huyo si aliyekuwa mume wa mwanamuziki huyo, Emmanuel Mbasha ‘Ima’, familia ya mwanaume huyo inadaiwa kufanya kikao kizito jijini Dar ili kupata ufumbuzi, Ijumaa Wikienda linakujuza. Mwimba Injili maarufu Bongo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais ajiuzulu ni baada ya kikao kizito Dodoma kufuatia mgongano wa kimaslai ndani ya Chama

kkk

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Rais wa Chama cha Msalaba Mwekundu  Tanzania (Tanzania Red Cross Society-TRCS), Dk. George Nangale (pichani), kwa habari zilizotufikia chumba cha Habari cha Mo dewji blog ni kuwa amejiuzulu nafasi yake hiyo.

Habari hizo zilibainisha kuwa, Dk. Nangale tayari amewasilisha barua rasmi ya kujiuzulu huku akikabidhi vitu muhimu ikiwemo funguo ya gari ambayo alikuwa akiitumia kama Rais ama Mwenyekiti wa Chama, katika makao makuu ya Red Cross, Mikocheni Jijini Dar...

 

9 years ago

GPL

FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi. Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito. Akizungumza na...

 

10 years ago

Habarileo

Moto wateketeza familia Dar

Wananchi wakiangalia nyumba iliyoteketea na kuangamiza familia nzima.WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto Dar

Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

FAMILIA DAR YAVUNJIWA NYUMBA USIKU!

Deogratius Mongela na Chande Abdallah /mchanganyiko
FAMILIA ya mzee Wilson Lyimo, mkazi wa maeneo ya Sinza-Makaburini, jijini Dar, imejikuta ikilala nje kwa wiki kadhaa baada ya kuvunjiwa nyumba yao usiku wa manane na watu wanaodaiwa kuwa ni mabaunsa wapatao 60. Vitu vikiwa nje baada ya nyumba kuvunjwa. Mabaunsa hao wanadaiwa kufanya tukio hilo usiku wa kuamkia Februari 24, mwaka huu wakati wanafamilia hao pamoja na wapangaji...

 

11 years ago

Michuzi

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...BAJETI KATIKA FAMILIA (Pt II)

Photo credits: moneymanagement.org Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu BAJETI KATIKA FAMILIA ambapo mbali na historia ya bajeti, pia tumesisitizwa kuhusu umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi. Wachangiaji studio walikuwa ni Amos Cherehani ambaye ni mtaalamu wa masuala ya fedha, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio KARIBU UUNGANE NASI

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii aliyekuwa Kahama.BUZWAGI imeanzisha mkakati wa kukuza na kuboresha hali ya utendaji kazi kwa wafanyakazi wake kwa kuanzisha utaratibu wa kuwakutanisha wafanyakazi wa mgodi huo na familia zao mara moja kwa mwaka katika siku maalumu ya familia ambayo hutoa fursa kwa familia za wafanyakazi wa mgodi huo kuweza kujionea namna ambavyo shughuli za uchimbaji wa madini hufanyika na hivyo kuwa mabalozi wazuri wa kampuni kwa ujumla.
Mwaka huu wafanyakazi wa kampuni...

 

10 years ago

Mwananchi

Familia yateketea kwa moto jijini Dar

 “Yesu tuokoe, Yesu tuokoe”. Ndiyo sauti ya mwisho iliyosikia toka kwenye nyumba ya vyumba vitatu na sebule iliyoteketea kwa moto na kusababisha watu sita wa familia moja kupoteza maisha, huku miili ya baba na mama wa familia hiyo ikikutwa pamoja imekumbatiana, ikiwa ni ishara ya kufa pamoja.

 

10 years ago

Mwananchi

Mazengo: Familia inayoishi barabarani jijini Dar

Ni saa 12:00 asubuhi. Watoto wadogo watatu wanakusanyika pamoja na wazazi wao katika moja ya baraza la maduka yaliyopo eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani