FAMILIA DAR YAVUNJIWA NYUMBA USIKU!
![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLTmgL*y*IpkCjYtlJMqwhmytITDTa-vsON*6IUHjH9R-nRqM-n6CQbQqdf4Z0V36*quC8JZfMoa-kkRIkeTeCD9/8.jpg?width=650)
Deogratius Mongela na Chande Abdallah /mchanganyiko FAMILIA ya mzee Wilson Lyimo, mkazi wa maeneo ya Sinza-Makaburini, jijini Dar, imejikuta ikilala nje kwa wiki kadhaa baada ya kuvunjiwa nyumba yao usiku wa manane na watu wanaodaiwa kuwa ni mabaunsa wapatao 60. Vitu vikiwa nje baada ya nyumba kuvunjwa. Mabaunsa hao wanadaiwa kufanya tukio hilo usiku wa kuamkia Februari 24, mwaka huu wakati wanafamilia hao pamoja na wapangaji...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/BVS-nIfVpmM/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Nyumba ya serikali yagawa familia
NI miaka nane sasa tangu Mahakama ya Mwanzo ya Iyunga jijini Mbeya ilipoamua kuvunja ndoa ya Simbonea Kileo na Gladness Kimaro. Kuvunjwa kwa ndoa hiyo kumeigawa zaidi familia hiyo baada...
11 years ago
GPL11 years ago
GPL9 years ago
Dewji Blog11 Nov
Familia Arumeru yatolewa vitu nje na kuvunjiwa nyumba!
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-NgeF1AcFBCg/VG8DvDzjMmI/AAAAAAABFqU/9q4IAHcTHG0/s72-c/IMG_2000.jpg)
FM ACADEMIA 'WAZEE WA NGWASUMA' YAMOTO BAND NA BARBANAS KUWASHA MOTO USIKU WA ONYESHO LA 'USIKU MWEUPE' JIJINI DAR
Na Mwandishi Wetu. FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' Yamoto Band na Barbanas, kesho watakuwa na onesho maalum liitwalo 'Usiku Mweupe' litakalofanyika kwenye ukumbi wa Escape One, uliopo mikocheni Dar es Salaam.Mratibu wa onesho hilo Wiliam Malecela, alisema kuwa kila kitu kipo vizuri ambapo onesho hilo litaanza saa 3, usiku.Alisema kuwa dhumuni la kufanya onesho la pamoja kwa bendi hizo na msanii huyo anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya ni kutaka kuuinua muziki wa dansi ambao...
9 years ago
Mtanzania28 Aug
Nyumba yateketea kwa moto na kuua tisa wa familia moja
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MOTO ulioteketeza nyumba na kuua watu tisa wa familia moja, umeacha simanzi baada ya kuelezwa kwamba mmoja wa waliopoteza maisha ni bibi aliyefariki akiwa amekumbatia wajukuu zake watatu na mama aliyemkumbatia mwanawe.
Katika tukio hilo lililotokea usiku wa kuamkia jana eneo la Buguruni Malapa, Ilala jijini Dar es Salaam, baba mwenye nyumba hiyo, Masoud Mattar, ndiye aliyesalimika kwa sababu alikuwa kazini.
Moto huo unadaiwa kutokea saa 9 usiku wa kuamkia...
10 years ago
Vijimambo22 Mar
NYUMBA YA UNGUA MOTO NA KUUA WATOTO 7 WA FAMILIA MOJA BROOKLYN. NY
![](http://ecx.images-amazon.com/images/I/41CeHuhTi3L._SX425_.jpg)
Chombo hiki ndiyo kilichosababisha nyumba kuungua moto na kuua watoto 7 Brooklyn New York watoto wa kike wa 3 na wakiume wa 4 wote ni wa familia moja wakiwa wame lala usiku na chombo hiki kukiacha kikiwa na moto baada ya kusahau kukizima. Chombo hiki utumiwa na Wajewish wakati wa kipindi cha Sabbath yani kama kwarezma kwa wakristo.
![](http://i.ytimg.com/vi/q4FGuLQDV_c/0.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Sep
Dk Slaa atimkia Marekani yeye na Familia yake, nyumba italindwa na polisi
Mazungumzo yake na Azam Tv Yaliyorushwa Leo Asubuhi akihojiwas na Tido Mhando Tuesday, September 8, 2015 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake […]
The post Dk Slaa atimkia Marekani yeye na Familia yake, nyumba italindwa na polisi appeared first on Mzalendo.net.