Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheyo akaribisha ‘wageni’ kuwania urasi kupitia UDP

Mbunge wa Bariadi  Mashariki na Mwenyekiti wa Chama cha UDP, John Cheyo  amesema wanakaribisha wanachama wa chama chochote cha siasa nchini kuwania nafasi ya urais kupitia chama hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Cheyo atafuta wagombea urais kupitia UDP

Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha UDP, amesema wanamkaribisha mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini kuwania nafasi ya urais kupitia chama hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Makaidi kuwania urais kupitia Ukawa

Wakati vyama vingine vinavyounda Ukawa, vikiendelea na mchakato wa kutafuta jina litakalopendekezwa kuchukua kiti cha urais, Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk Emmanuel Makaidi amesema, tayari chama chake kimeshapendekeza jina lake kuwa miongoni mwa vigogo watakaoshindanishwa kwenye kinyang’anyiro hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa achukua fomu ya kuwania urais kupitia Chadema

>Kada mpya wa Chadema, Edward Lowassa jana alichukua tena fomu ya kuwania urais lakini safari hii si kwa tiketi ya CCM, katika hafla ambayo ilishuhudiwa na umati mkubwa wa watu uliosababisha Mtaa wa Ufipa kufungwa kwa saa tatu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kada CCM ajing’oa, kuwania ubunge kupitia Chadema

IMG_20141212_123949

Mapokezi ya Fransico Kimasa Shejamabu (mwenye gwanda) akielekea katika viwanja vya shule ya msingi Pambalu wilayani Sengerema kuhutubia wananchi. (picha zote na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema).

Na Daniel Makaka, Sengerema.

Aliyekuwa kada wa wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya Sengerema mkoani Mwanza  Bw. Fransico Kimasa Shejamabu  ametangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)ambacho amejiunga nacho.

Kauli hiyo ameitoa mjini hapa...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS KUPITIA CHADEMA

 Mtangaza nia ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia maelfu ya wafuasi na wapenzi wa Chama hicho, wakati alipowasili kwenye Ofisi ya Makao Makuu ya Chama hicho, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Mh. Lowassa alifika ofisini hapo kurudisha fomu za kuomba ridhaa ya Chama hicho, kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
  Mtangaza nia ya kuwania nafasi ya...

 

10 years ago

GPL

DK. KAMANI NAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KUPITIA CCM

MBUNGE wa Jimbo la Busega (CCM), ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani (pichani) leo ametangaza nia ya kuwania Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa jijini Mwanza. Dk.Kamani ametangaza nia katika mkutano wake uliofanyika kwenye Ukumbi wa Gandhi Memorial uliopo Nyamagana Jijini Mwanza.

 

11 years ago

Michuzi

MUUZA MAGAZETI AJITOKEZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA KUPITIA CHADEMA

Bw. Aidan Pugili WAKALA wa magazeti mjini Iringa Aidan Pugili (34),  amejitokeza kuwania ubunge katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Uchaguzi mdogo wa kujaza kiti hicho kilichoachwa wazi na Dk William Mgimwa aliyefariki Januari 1, mwaka huu, utafanyika Machi 16, mwaka huu.
Akitumia umaarufu wake wa kuuza magazeti mjini hapa, Pugili aliyesindikizwa na baadhi ya wauza magazeti wenzake alichukua fomu za Chadema kwa staili ya aina yake...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ATANGAZA NIA YA KUWANIA UWAKILISHI KUPITIA JIMBO JIPYA LA MAHONDA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiagana na Wajumbe wa Kamati za siasa za Mkoa wa Kaskazini Unguja, Wilaya ya Kaskazini B Jimbo la zamani la Kitope na Kamati tekelezaji za UWT na Vijana ambao alifanya kazi nao pamoja katika kipindi cha miaka 10 akiwa Mbunge wa Jimbo la zamani la Kitope.Kulia ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B” Nd. Hilika Ibrahim Khamis na kushoto ya Balozi Seif ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja ambae pia ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani