Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHIDINMA, TEKNO KUNA KITU KATI YAO

Picha iliyowekwa na Chidinma Instagram. SIKU chache zilizopita iliripotiwa kuwa staa anayekuja juu Nigeria aliyewahi kutoka kimapenzi na ‘video queen’ wa Kibongo, Agnes Gerald ‘Masogange’, Tekno yuko katika penzi jipya baada ya kuanikwa na mwanadada Chidinma. Tekno ambaye anakimbiza na Ngoma ya Dulo ambayo kwa sasa ni gumzo nchini humo, juzi aliwekwa kwenye Ukurasa wa Instagram na mdada ambaye pia ni msanii, Chidinma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Tekno anajua kitu gani kilichomuuma ndio maana anajishtukia — Agnes Masogange ajibu

Video vixen wa Bongo, Agnes Masogange ameonesha kupingana na kauli ya msanii wa Nigeria, Tekno Miles ambaye amekanusha kuwahi kuwa na uhusiano naye. Drama ya Agnes mshepu na hit maker wa ‘Duro’ imeibuka baada ya Tekno kufanyiwa mahojiano na mtangazaji wa Clouds Fm, Diva kupitia kipindi cha ‘Ala Za Roho’, ambapo alikanusha kabisa kuwahi kuwa […]

 

10 years ago

GPL

AJALI HIZI, KUNA KITU

Ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Nganga na Fuso yakiwaka moto. KWANZA kabisa tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai, hakika yeye anastahili kuabudiwa kila siku.
Baada ya kusema hayo nianze kwa kuwataka wasomaji wangu kutafakari kwa kina hizi ajali za mabasi zinazotokea mara kwa mara katika barabara za nchi yetu. Kwa muda wa siku zisizozidi kumi na nane zimetokea ajali mbaya tatu za mabasi na kusababisha Watanzania wenzetu zaidi...

 

10 years ago

GPL

KUNA KITU ZAIDI YA NENO NAKUPENDA-3

MARAFIKI tunaendelea kujifunza zaidi kuhusu maisha ya uhusiano na mapenzi. Leo tunafikia tamati ya mada hii iliyoanza wiki mbili zilizopita.
Tumeshajifunza mengi, kama mtakumbuka wiki iliyopita tulianza kuona nini cha kufanya kwa kuanza na kuchunguza tatizo. Hebu sasa twende kwenye vipengele vilivyosalia. Badilika...
Inawezekana wewe ndiye uliyekosea, yamkini pia ni mwenzi wako ndiye mwenye makosa, vyovyote ilivyo, kikubwa...

 

10 years ago

GPL

DUDE, ESTER KIAMA KUNA KITU!

Hamida Hassan/mchanganyiko
UKARIBU wa mastaa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude na msanii mwenzake Ester Kiama unaonyesha kama kuna kitu kati yao baada ya kuonekana kuwa karibu kwa muda mwingi kiasi kinachotia shaka! Staa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude. Chanzo kilicho karibu na wawili hao kimesema mara kwa mara wanaonekana kuwa karibu kila wanapokwenda na kuonyesha dalili zote za...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA TYSON, KUNA KITU!

Stori: WAANDISHI WETU Tatizo! Huku macho ya waigizaji na wadau wake hayajakauka machozi kufuatia vifo vya ghafla vya mwongoza sinema, Adam Philip Kuambiana (38) na mwigizaji Sheila Leo Haule ‘Recho’ (26), tasnia imempoteza mwingine, mwigizaji, prodyuza na mwongozaji filamu mahiri, George Otieno ‘Tyson’ (41). Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiwa limehifadhiwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki,...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, KUNA KITU CHA KUJIFUNZA!

NASIB Abdul, ambaye uwezo wake wa muziki wa kizazi kipya umempatia jina la Diamond Platnumz, mwishoni mwa wiki iliyopita katika tamasha la Fiesta, pale Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam, itabaki kuwa ndani ya kumbukumbu zake, angalau kwa miaka kadhaa ijayo. Mamia ya mashabiki waliojazana katika viwanja hivyo, walimzomea kwa nguvu kubwa, tofauti na matarajio ya wengi kwamba angefunika, kama wenyewe wanavyosema. Kelele...

 

11 years ago

GPL

KUNA KITU ZAIDI YA NENO NAKUPENDA

JAMBO la kufurahisha ni kwamba, ukifungua ukurasa huu, unakuwa na uhakika wa kuongeza kitu kipya katika maisha yako ya uhusiano na mapenzi. Hata kama huna mpenzi kwa sasa, utajiwekea mazingira mazuri ya kupata mwezi sahihi siku zijazo. Unaweza kunisoma pia kwenye Gazeti la Risasi Mchanganyiko  katika safu ya Let’s All About Love, Elimu ya Mapenzi katika Gazeti la Championi Jumamosi na Love & Life kwenye Gazeti la Uwazi...

 

9 years ago

Bongo5

Tekno kwa Diva: Wewe ni msichana mrembo kwanini huna mpenzi?” Sikiliza mahojiano yao ya kuvutia hapa (Audio)

Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kinachoendeshwa na Diva The Bawse kimeendelea kuvuka boda. Siku za hivi karibuni mtangazaji huyo maarufu amekuwa akihoji wasanii wengi wa nje ya Tanzania wakiwemo Iyanya, Patoranking, Maurice Kirya na sasa amezungumza na hitmaker wa Duro, Tekno Miles wa Nigeria. Kwenye mahojiano hayo Diva amemuuliza staa huyo kuhusu […]

 

10 years ago

GPL

BARUA NZITO WEMA KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KWA‭ ‬ZARI‭!‬

KWAKO mtoto mzuri‭, ‬Beutiful Onyinye‭, ‬Wema Sepetu‭ ‬‮!‬'Madam'. ‬Vipi uko poa‭? ‬Ukitaka kujua afya yangu‭, ‬mimi ni mzima namshukuru Mungu‭, ‬hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa maisha yangu‭.‬
Kitambo kidogo hatujaonana‭, ‬nimeona si mbaya kama nitakukumbuka kwa barua maana najua kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani