Chilo, Kijo,Abby Plaatjes waigizaji filamu ya ‘HomeComing’
Mzee Chilo, Daniel Kijo, Hashim Kambi, Abby Plaatjes pamoja na mastaa wengine wanakuja na filamu iitwayo ‘HomeComing’ inayozungumzia athari za rushwa.
Filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Alkemist Media ina ujumbe wa kuhusiana na vishawishi vya rushwa pamoja na athari zake kwa wafanyakazi na jamii kwa ujumla.
Kijo ambaye anafahamika zaidi katika tasnia ya habari aliwahi kutangaza kwenye kipindi cha Daladala kinachorushwa na Star TV, katika filamu hii ameigiza kama mhusika mkuu akitumia...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Mzee Chilo, Kijo, Hashim Kambi ndani ya ‘Homecoming’
NA MWANDISHI WETU
MASTAA wengi wa Bongo Movie wamekutanishwa katika filamu mpya ya ‘Homecoming’, inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni, huku ikilenga kubadilisha soko la mauzo ya filamu za Tanzania.
Baadhi ya mastaa hao walioshiriki katika filamu hiyo ni pamoja na Daniel Kijo, aliyekuwa akitangaza kipindi cha Daladala kinachorushwa na televisheni ya Star TV, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’, Hashim Kambi, Susan Lewis ‘Natasha’ na Abby Plaatjes, aliyewahi kuwa mmoja wa washiriki wa Big Brother...
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Filamu ya ‘Homecoming’ kutinga sokoni mwezi ujao
NA MWANDISHI WETU
FILAMU inayozungumzia masuala ya rushwa ya ‘Homecoming’, baada ya kukamilika itaanza kuonyeshwa katika kumbi mbalimbali za sinema kuanzia mwezi ujao.
Muongozaji na mwandishi wa filamu hiyo, Seko Shamte, alisema filamu hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Alkemist Media inaonyesha namna vijana walivyo katika hatari kubwa ya kushiriki rushwa kutokana na ushawishi wa mazingira yanayowazunguka na namna wanavyoshindwa kukwepa vishawishi hivyo.
“Wazo la filamu hiyo lilianzia mwaka...
9 years ago
Bongo530 Dec
Picha: Uzinduzi wa filamu ya ‘Homecoming’ waitikisa Dar
![_K0A2157](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/K0A2157-300x194.jpg)
Mastaa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye Jumanne hii walipamba uzinduzi wa filamu ya ‘Homecoming’ uliofanyika katika ukumbi wa Century Cinema jijini Dar es Salaam.
Waziri Nape akihojiwa
Akizungumza na Bongo5 jana baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Nape aliwapongeza waandaji wa filamu hiyo huku akiwataka kuendelea na utaratibu huo ili kukuza sanaa pamoja na kukuza vipato vya wasanii.
“Hii ni hatua nzuri...
10 years ago
Bongo513 Apr
Mzee Chilo asema filamu ya ‘Going Bongo’ imemfunza mengi
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Mwanahabari Nashon Kenedy awapa siri ya mafanikio Waigizaji wa filamu Jijini Mwanza!
9 years ago
Bongo Movies05 Nov
Habari Njema Kutoka Jerusalem Films kwa Wapenzi Na Waigizaji Wachanga wa Filamu
Wapenzi na wadau wa Jerusalem Films tunapenda kuwajulisha kuwa uchukuaji picha wa tamthilia yetu utaanza mwishoni wa mwezi wa 11.
Hii nikutokana na kuingiliwa kwa ratiba kutokana na uchaguzi, waigizaji wengi tutakao wapa nafasi ni wapya, tutatoa utaratibu wa usaili.
Tayari tumepata mkataba mzuri na moja ya Television ya kulipia, vile vile tunajipanga kuwatangazia siku za kuzitoa Chungu Cha Tatu, Chale Mvuvi na Kalambati Lobo.
endelea kufurahia kazi za jerusalem films
Jacob Stephen ‘JB’...
11 years ago
GPL10 Jun
10 years ago
VijimamboTaswira za Mwili wa Marehemu Abby Sykes ukiswaliwa nyumbani kwake Kawe
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...