Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanahabari Nashon Kenedy awapa siri ya mafanikio Waigizaji wa filamu Jijini Mwanza!

  Kulia ni Mwanahabari Nashon Kenedy kutoka gazeti la kiswahili la Habari Leo na lile la kiingereza la Daily News akiongea katika hafla ya kuzaliwa kwa Yusuph Kisiba a.k.a Yuskiss ambae ni Mtengenezaji wa Filamu katika Kampuni ya Shafineyz Film Production ya Jijini Mwanza. Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group Mwanahabari Nashon Kenedy kutoka gazeti la kiswahili la Habari Leo na lile la kiingereza la Daily News amewashauri wasanii wa maigizo Jijini Mwanza, kubadilika na kuigiza...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AZINDUA FILAMU MPYA YA 'I LOVE MWANZA' JIJINI MWANZA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), akisadiwa na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba, kukata utepe kuzindua filamu mpya iitwayo ‘I Love Mwanza’ iliyoandaliwa na Lake Zone Youth Empowerment Foundation kwa kushirikiana na Tropical Media Tanzania Ltd, katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza Jumamosi usiku. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wa watatu kushoto), na Mwenyekiti wa Chama cha...

 

10 years ago

Vijimambo

WAIGIZAJI SIRI YA MTUNGI WALIVYOISHEREHEKEA VALENTINE’S DAY NA MASHABIKI WAO

Muigizaji wa Siri ya Mtungi Godliver Gadisan ‘Cheusi’ akiwa na Wery Kuli mmoja ya mashabiki waliojishindia nafasi ya kusherehekea pamoja mchana wa siku ya wapendanao,Cheche akipata mlo wa mchana na Nargis Swizzan ambaye ni shabiki wa tamthilia ya Siri ya Mtungi katika Mgahawa wa Karafuu Kinondoni.Zawadi ya ua jekundu toka kwa Cheusi kwenda shabiki wake Wery Kuli.Cheche na Cheusi katika picha ya pamoja na mashabiki wao mara baada ya kupata chakula cha mchana.Mashabiki wa Siri ya Mtungi katika...

 

10 years ago

GPL

WAIGIZAJI SIRI YA MTUNGI WALIVYOISHEREHEKEA VALENTINE’S DAY NA MASHABIKI WAO

Muigizaji wa Siri ya Mtungi Godliver Gadisan ‘Cheusi’ akiwa na Wery Kuli mmoja ya mashabiki waliojishindia nafasi ya kusherehekea pamoja mchana wa siku ya wapendanao, Cheche akipata mlo wa mchana na Nargis Swizzan ambaye ni shabiki wa tamthilia ya Siri ya Mtungi katika Mgahawa wa Karafuu Kinondoni.…

 

9 years ago

Bongo5

Chilo, Kijo,Abby Plaatjes waigizaji filamu ya ‘HomeComing’

Homecoming+official

Mzee Chilo, Daniel Kijo, Hashim Kambi, Abby Plaatjes pamoja na mastaa wengine wanakuja na filamu iitwayo ‘HomeComing’ inayozungumzia athari za rushwa.

Homecoming+official

Filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Alkemist Media ina ujumbe wa kuhusiana na vishawishi vya rushwa pamoja na athari zake kwa wafanyakazi na jamii kwa ujumla.

Kijo ambaye anafahamika zaidi katika tasnia ya habari aliwahi kutangaza kwenye kipindi cha Daladala kinachorushwa na Star TV, katika filamu hii ameigiza kama mhusika mkuu akitumia...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Waigizaji wa Siri ya Mtungi na mashabiki wao walivyosherekea siku ya wapendanao " VALENTINE DAY"

Kila mtu anakumbuka kivyake VALENTINE yake ilivyoenda yani, mashabiki wa tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’ walipata nafasi ya kuenjoy na mastaa wanaoonekana kwenye tamthilia hiyo, Cheche pamoja na Cheusi.

Fans hao walipatikana kwenye shindano lililofanywa kwenye kurasa za Siri ya Mtungi kwenye Facebook, Instagram na Twitter, kazi ilikuwa rahisi tu, kuwashawishi wasanii hao kwa kutuma nyimbo, picha na video.

Walioshinda ni wawili, Wery Kuli na Nargis Swizzan.

Walienjoy pamoja chakula cha...

 

9 years ago

Bongo Movies

Habari Njema Kutoka Jerusalem Films kwa Wapenzi Na Waigizaji Wachanga wa Filamu

Wapenzi na wadau wa Jerusalem Films tunapenda kuwajulisha kuwa uchukuaji picha wa tamthilia yetu utaanza mwishoni wa mwezi wa 11.

Hii nikutokana na kuingiliwa kwa ratiba kutokana na uchaguzi, waigizaji wengi tutakao wapa nafasi ni wapya, tutatoa utaratibu wa usaili.

Tayari tumepata mkataba mzuri na moja ya Television ya kulipia, vile vile tunajipanga kuwatangazia siku za kuzitoa Chungu Cha Tatu, Chale Mvuvi na Kalambati Lobo.

endelea kufurahia kazi za jerusalem films

Jacob Stephen ‘JB’...

 

11 years ago

Mwananchi

Tendwa awapa siri wapinzani

Tangu mwaka 1995 vyama vya upinzani nchini vimekuwa vikisimamisha wagombea katika Uchaguzi Mkuu na kuambulia patupu mbele ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), lakini sasa vimepewa somo la kushinda katika uchaguzi huo na aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa.

 

10 years ago

Michuzi

Filamu: Pata Filamu ya I LOVE MWANZA kupitia Mtandao

Mapenzi yanamfanya mtoto wa senetor Michael Nsonko kutoka Nairobi Kenya na kuja katika jiji la mwanza Tanzania. Alivutiwa sana na jiji hilo nakujiona ni mwenye bahati. Je kila kiang'aacho ni Dhahabu?. Fuatilia hii kupitia mtandao .......
Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania mtandaoni iitwayo I LOVE MWANZA au Kununua na iwe yako tembelea tovuti ya 
http://www.proinpromotions.co.tz
Pia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao huo huo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani