Picha: Uzinduzi wa filamu ya ‘Homecoming’ waitikisa Dar
Mastaa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye Jumanne hii walipamba uzinduzi wa filamu ya ‘Homecoming’ uliofanyika katika ukumbi wa Century Cinema jijini Dar es Salaam.
Waziri Nape akihojiwa
Akizungumza na Bongo5 jana baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Nape aliwapongeza waandaji wa filamu hiyo huku akiwataka kuendelea na utaratibu huo ili kukuza sanaa pamoja na kukuza vipato vya wasanii.
“Hii ni hatua nzuri...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Filamu ya ‘Homecoming’ kutinga sokoni mwezi ujao
NA MWANDISHI WETU
FILAMU inayozungumzia masuala ya rushwa ya ‘Homecoming’, baada ya kukamilika itaanza kuonyeshwa katika kumbi mbalimbali za sinema kuanzia mwezi ujao.
Muongozaji na mwandishi wa filamu hiyo, Seko Shamte, alisema filamu hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Alkemist Media inaonyesha namna vijana walivyo katika hatari kubwa ya kushiriki rushwa kutokana na ushawishi wa mazingira yanayowazunguka na namna wanavyoshindwa kukwepa vishawishi hivyo.
“Wazo la filamu hiyo lilianzia mwaka...
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Ninazo picha 20 za uzinduzi wa filamu mpya ‘Home Coming’.. mastaa wahudhuria
Mastaa mbalimbali leo Dec 29 walikutana cinema Mlimani City kwenye uzinduzi wa filamu mpya iliyopewa jina la Home Coming ambayo ndani ya movie hiyo kuna mastaa walioshiriki akiwemo Mzee Chilo na Hasheem Kambi, Bramsen, Olotu, Gordian, Munisi na wengineo. Hapa nimekusogezea baadhi picha uone jinsi tukio lilivyofanyika Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]
The post Ninazo picha 20 za uzinduzi wa filamu mpya ‘Home Coming’.. mastaa wahudhuria appeared first on...
9 years ago
Bongo504 Dec
Chilo, Kijo,Abby Plaatjes waigizaji filamu ya ‘HomeComing’
![Homecoming+official](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Homecoming-official-300x194.jpg)
Mzee Chilo, Daniel Kijo, Hashim Kambi, Abby Plaatjes pamoja na mastaa wengine wanakuja na filamu iitwayo ‘HomeComing’ inayozungumzia athari za rushwa.
Filamu hiyo iliyotengenezwa na kampuni ya Alkemist Media ina ujumbe wa kuhusiana na vishawishi vya rushwa pamoja na athari zake kwa wafanyakazi na jamii kwa ujumla.
Kijo ambaye anafahamika zaidi katika tasnia ya habari aliwahi kutangaza kwenye kipindi cha Daladala kinachorushwa na Star TV, katika filamu hii ameigiza kama mhusika mkuu akitumia...
10 years ago
Bongo Movies25 Sep
PICHA: Uzinduzi wa filamu ya Mbwa Mwitu ulivyokuwa hapo jana kwenye ukumbi wa Mlimani City.
Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji. Tazama baadhi ya picha toka kwenye tukio hili. Hapo jana mwanadada Kajala alizindua rasmi filamu yake mpya ya mbwa Mwitu katika ukumbi Maarufu wa mlimani city ulipo jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliuzuliwa na mastaa mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki na waigizaji....
10 years ago
Michuzi25 Nov
UZINDUZI WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA WAFANYIKA JIJINI DAR
![_N0A0439](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/N0A0439.jpg)
![_N0A0239](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/N0A0239.jpg)
![_N0A0270](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/N0A0270.jpg)
10 years ago
Bongo Movies26 Nov
PICHA: Uzinduzi Wa Tanzania Film Awards 2014/2015 ulivyokuwa New Africa Hotel - Dar
Mkurugenzi wa Bodi ya FIlamu Nchini Mama Fisoo akiongea wakati wa Uzinduzi wa Tuzo za Filamu nchini
Novemba 24, 2014; Zile tuzo zilizosubiriwa kwa muda mrefu na watanzania sasa zimezinduliwa rasmi jijini Dara es Salaam. Zimezinduliwa rasmi kwa shamra shamra za aina yake mwishoni mwa wiki na Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof. Elisante Ole...
9 years ago
Bongo522 Oct
Picha: Muongozaji wa filamu wa Tanzania ashinda tuzo za Marekani na kuwashangaza kwa ubora wa filamu zake
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FBfnXTo9RIFcZWZ*edpkoctIA2isb3r0T0gauG19st9Kn6YB42stTgGguSLq1qBvUuwxMuumjIkt82aDz5sV5fFACehnQ3rO/1.jpg?width=650)
UZINDUZI WA FILAMU ZA SWAHILIWOOD USPIME
10 years ago
GPLUZINDUZI WA FILAMU YA ONE MONTH DATE NI MAPINDUZI TOSHA