Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA FILAMU ZA SWAHILIWOOD USPIME

Wadau wakiangalia moja ya filamu katika uzinduzi huo. Wadau wakiendelea kufurahia burudani. Msanii mkongwe Mahsein Awadh 'Dokta Cheni' akibadilishana mawazo na msanii mwenzake, Shamsa Ford (kushoto) na kulia ni mwanadada aliyekuwa akimlinda Dokta Cheni.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SWAHILIWOOD YAZINDUA FILAMU TATU UKUMBI WA CENTURY CINEMA

Wadau wa filamu wakifuatilia uzinduzi huo. Mkurungenzi wa MFDI, John Riber, akiwa na mkali wa R&B nchini, Ben Pol. Swebe, Sintah na…

 

11 years ago

Michuzi

FILAMU ZA SWAHILIWOOD ZAZINDULIWA RASMI KATIKA UKUMBI WA CENTRUY CINEMAX, OYSTERBAY, JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Media For Development International (MFDI) – Tanzania Bw. John Riber akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Filamu tatu chini ya mradi wa Swahiliwood. MFDI inatambua umuhimu wa tasnia ya filamu (ambayo kwa sasa inajulikana kama Bongo movie), na sio tu kwamba ni daraja linaloelezea habari za kijamii, lakini pia kama tasnia am­bayo inaweza kuleta maendeleo na ajira kwa vijana wa Kitanzania.

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika usiku wa...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA FILAMU YA WAPE SALAMU ZAO JUMAPILI

UZINDUZI wa filamu ya Wape Salamu Zao unatarajia kufanyika siku ya Jumapili tarehe 9 November katika ukumbi Travetine Magomeni, jijini Dar es salaam.Uzinduzi huo utambatana na ujio wa sesson 2 kipindi cha Ulimwenguni wa filamu cha TBC 1,kinachoongozwa na Juma Mtetwa katika, kivutio kikubwa ni Jackson Kabirigi ‘Kisate’. “Nimepanga kuacha historia katika uzinduzi wa filamu ya Wape Salamu Zao, kuna vitu vingi sana ambavyo sijawahi kuwaonyesha watazamaji hajawahi kuviona kutoka kwangu tarajieni...

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI WA FILAMU YA ONE MONTH DATE NI MAPINDUZI TOSHA

Sehemu ya vipande vya filamu hiyo.
Baadhi ya wahusika wa Filamu ya One Month Date.…

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Uzinduzi wa filamu ya ‘Homecoming’ waitikisa Dar

_K0A2157

Mastaa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye Jumanne hii walipamba uzinduzi wa filamu ya ‘Homecoming’ uliofanyika katika ukumbi wa Century Cinema jijini Dar es Salaam.

Waziri Nape akihojiwa
Waziri Nape akihojiwa

Akizungumza na Bongo5 jana baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Nape aliwapongeza waandaji wa filamu hiyo huku akiwataka kuendelea na utaratibu huo ili kukuza sanaa pamoja na kukuza vipato vya wasanii.

“Hii ni hatua nzuri...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA WAFANYIKA JIJINI DAR

_N0A0439Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akiongea neno wakati wa uzinduzi.
_N0A0239Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba akielezea jambo katika hafla za uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam._N0A0270 Vijana kutoka Kigamboni Community Center wakitoa burudani wakati wa hafla za  uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

Party ya uzinduzi wa filamu ya James Bond, Spectre ilivyofana

Na Mwandishi Wetu
WATU mbalimbali walihudhuria hafla ya uzinduzi wa filamu ya Spectre ya  James Bond iliyofanyika Cape Town Fish Market chini ya udhamini wa Belvedere Vodka, Heineken, Jaguar pamoja na Land Rover.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo, mwakilishi wa kampuni ya QWAY International inayosambaza  kinywaji cha Belvedere Vodka,Tanya Mulamula alisema hafla hiyo inalenga kuwakutanisha wadau na kuifurahia filamu hiyo, ikiwa siku moja kabla ya uzinduzi wake.
Filamu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani