Taswira za Mwili wa Marehemu Abby Sykes ukiswaliwa nyumbani kwake Kawe
Mwili wa baba mzazi wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes ukiwa unaswaliwa nyumbani kwa kaka wa marehemu maeneo ya Kawe jijini Dar leo mchana na baada ya kumaliza kuswaliwa hapo umepelekwa msikitini na baada ya kutoka msikitini utapelekwa kwenye makabiri ya Kisutu kwa ajili ya mazishi.
Mwili wa Ebby Sykes ukipandishwa kwenye gari kwa ajili ya kwenda kuswaliwa baada ya kuswaliwa nyumbani kwa kaka yaka eneo la Kawe jijini Dar
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes akiwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_I19nvPA2_U/U5LWuwi80zI/AAAAAAAFoS8/CpX3WEU6W-Q/s72-c/Gebo+kuagwa+2.jpg)
Mwili wa Marehemu Gebbo Peter waagwa leo nyumbani kwake Vingunguti,Kuzikwa kijijini kwao Kigurunyembe mkoani Morogoro
![](http://2.bp.blogspot.com/-_I19nvPA2_U/U5LWuwi80zI/AAAAAAAFoS8/CpX3WEU6W-Q/s1600/Gebo+kuagwa+2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vqhnz2On3e8/U5LXEY1tDrI/AAAAAAAFoTs/rDBFcKbHCVs/s1600/gebo+kuwagwa+8.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4f7ggvZ2Nqc/U5LW0cuv8AI/AAAAAAAFoTI/3e3iEd3LKNs/s1600/gebo+kuagwa+3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-pR7fzHuKxrQ/U5LW5cGnJRI/AAAAAAAFoTU/i8FlWGZ1eoc/s1600/gebo+kuagwa+6.jpg)
11 years ago
CloudsFM04 Jun
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-78cA6FitBnM/VSpr6S2Nc5I/AAAAAAAHQqA/Db0j1TpifQE/s72-c/unnamed%2B(71).jpg)
RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU LUTENI KANALI PASCAL S. HAULE (rtd) — NYUMBANI KWAKE KILUVYA TAREHE 13/14 APRIL 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-78cA6FitBnM/VSpr6S2Nc5I/AAAAAAAHQqA/Db0j1TpifQE/s1600/unnamed%2B(71).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-N01sI_J_GDQ/VSuArarPFnI/AAAAAAAHQ0c/InOSoiOgzYU/s1600/Screen%2BShot%2B2015-04-13%2Bat%2B11.38.06%2BAM.png)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-HSFHD28Zqzk/VXnQA4HrNtI/AAAAAAADrG8/jLpPJt0s-zk/s72-c/unnamed.jpg)
TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA, LEO NI SIKU YA MWISHO MWILI WA MAREHEMU UNAPUMZISHWA KWENYE NYUMBA YA MILELE HUKO TANZANIA, WATANZANI TUTAKUTANA NYUMBANI KWA DR TEMBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-HSFHD28Zqzk/VXnQA4HrNtI/AAAAAAADrG8/jLpPJt0s-zk/s320/unnamed.jpg)
Alizaliwa Uru Shimbwe na alikuwa Mwalimu Lyamungu Secondary School, Moshi Kilimamjaro Tanzania.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania kwa Masikitiko makubwa tunaungana na Mweka na Mweka Hazina wetu Dr.Temba kutangaza kifo cha Kaka yake mpenzi Mzee Flavian Temba kilichotokea ghafla usiku wa June 10,2015 katika Hospitali ya Mawenzi Moshi Kilimanjaro, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu wanajumuiya tuungane na Dr.Temba...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FsbI7diFASg/VA3Z4xuKHCI/AAAAAAAGiF4/y9o7GiRW89Y/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
TASWIRA ZA MAZIKO YA MAREHEMU SPIKA MSTAAFU WA BARAZA LA WAWAKILISHI MAREHEMU ALI KHAMIS ABDALLAH
![](http://2.bp.blogspot.com/-FsbI7diFASg/VA3Z4xuKHCI/AAAAAAAGiF4/y9o7GiRW89Y/s1600/unnamed%2B(6).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-h5GYcnFj-Ts/VA3Z57wOLKI/AAAAAAAGiGE/vZWMU8VnUH8/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mWq-Pv8RWzTT8y0HktWEoa2p5Zp*TovGPwEOsHEJwvIn71crsleN546vMRtLfKWZv-t9jN6vjaDs1i929Clw7G76*E8WdOgO/w1.jpg?width=640)
9 years ago
Bongo521 Dec
Mabeste aliishi kama mtoto nyumbani kwa Dully Sykes
![Mabeste na mpenzi wake](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Mabeste-na-mpenzi-wake-300x194.jpg)
Rapa Mabeste ameweka wazi jinsi msanii mkongwe kwenye muziki Dully Sykes alivyomsaidia katika wakati mgumu maishani mwake.
Mabeste ambaye yupo katika mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka katika mbuga za Manyara National Park Arusha, ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa Dully ndiye Godfather kweye muziki wake.
Rapa huyo alisema kipindi chote alipokuwa anahangaika kuhusu muziki, Dully Sykes ndiye alikuwa msaada kwake, kuanzia kuvaa, kula na kulala na aliishi nyumbani kwa Dully kwa muda...
10 years ago
Habarileo24 Oct
Mfanyabiashara auawa nyumbani kwake
MFANYABIASHARA wa nafaka wa Maili Mbili , Dodoma mjini, Kapteni Mwita maarufu kama Chacha amepigwa risasi tatu na kufa akiwa nyumbani kwake.
10 years ago
VijimamboASHA AFUTARISHA NYUMBANI KWAKE GERMANTOWN, MARYLAND