Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


China inatuhamasisha kuendelea - Kikwete

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa maendeleo ya haraka ya Jamhuri ya Watu wa China ni hamasa kubwa na ya kutosha kwa nchi za Afrika kuwa nazo katika kuendelea katika kipindi kifupi kama zitaongozwa na sera sahihi za mageuzi ya kiuchumi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

TANZANIA NA CHINA KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO

Balozi wa China nchini Tanzania Bw. Lu Youqing (wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC- wa kwanza kulia), Bw. Clement Mshana pamoja na Makamu wa Rais wa Makampuni ya StarTimes, Bi. Guo Ziqi (wa kwanza kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vyombo vya Habari, Uchapishaji, Redio, Filamu na Luninga, Bi. Yang Peili (wa pili kulia) wakifurahia zawadi za vitambaa vilivyonakshiwa na...

 

10 years ago

Habarileo

China kuendelea kusaidia uzalishaji wataalamu

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China, imesema itaendelea kuongeza ufadhili na kutoa utaalamu kwa Tanzania katika nyanja mbalimbali za maendeleo ikiwemo ya kilimo ili kuongeza kasi ya uzalishaji wa mazao yatakayosaidia kuinua pato kwa mkulima mdogo na kukuza uchumi wa Taifa.

 

10 years ago

Habarileo

China yaahidi kuendelea kuisaidia Zanzibar

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China, imeahidi kuendelea kuunga mkono Zanzibar katika kuimarisha miradi yake ya maendeleo na ushirikiano wa muda mrefu ulioasisiwa na viongozi wake wakuu.

 

10 years ago

Mwananchi

China sasa kuendelea kusaidia sekta ya kilimo

Serikali ya China imeahidi kuendelea kutoa ufadhili na utaalamu katika sekta ya kilimo, ili kuongeza uzalishaji wa mazao utakao saidia kuongeza pato la wakulima wadogo na taifa.

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA NA CHINA KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO KUPITIA UTAMADUNI

 Balozi wa China nchini Tanzania Bw. Lu Youqing (wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC- wa kwanza kulia), Bw. Clement Mshana pamoja na Makamu wa Rais wa Makampuni ya StarTimes, Bi. Guo Ziqi (wa kwanza kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vyombo vya Habari, Uchapishaji, Redio, Filamu na Luninga,  kulia) Bw. Clement Mshana wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Filamu na Tamthiliya za Beijing kupitia kwenye Luninga ya mwaka 2015. Uzinduzi huo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania na China kuendelea kudumisha ushirikiano kupitia UTAMADUNI

2 (1)Makamu wa Rais wa Makampuni ya StarTimes, Bi. Guo Ziqi (kushoto) akipokea zawadi ya kinyago kilichochongwa na wasanii wa Tanzania kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC- wa kwanza kulia) Bw. Clement Mshana wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Filamu na Tamthiliya za Beijing kupitia kwenye Luninga ya mwaka 2015. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni jitihada za kukuza filamu pamoja na uhusiano wa kiutamaduni baina ya nchi hizo...

 

9 years ago

Dewji Blog

China na Tanzania kuendelea kushirikiana katika Sanaa za michoro, ikiwemo ya Tingatinga

ch 1Balozi wa China nchini Tanzania Dr. Lu Younq ing akiongea na baadhi ya wasanii wa sanaa ya uchoraji  wa Tingatinga katika hafla ya utoaji wa  Tuzo  la Mashindano ya Kimataifa ya Uchoraji wa Tingatinga Tanzania iliyofanyika leo  jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zimetolewa kwa  ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. Tuzo hizo zimetolewa kwa  ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China. (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM)

ch 3

ch 2

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi....

 

10 years ago

Michuzi

Taswira za siku ya kwanza ya Ziara ya Rais Kikwete na mama salma kikwete nchini China

 Rais Dkt. Jakaya Kikwete na Mwenyekiti wa China National Offshore Oil Corporation Bwana Wang Yilin wakizindua rasmi mtambo mpya wa utafutaji wa mafuta na gesi baharini, Uzinduzi huo ulifanyika kwenye Makao Makuu ya Shirika hilo huko Beijing tarehe 22.10.2014. Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiongoza ujumbe wa Tanzania unaozuru nchini China wakiangalia vifaa mbalimbali vinavyotumiwa na Shirika la  CNOOC la China katika kazi ya utafutaji wa mafuta na gesi baharini wakati walipotembelea Makao Makuu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hatuwezi kuendelea kwa kutegemea mazingaombwe na ramli — Kikwete

IMG_7716

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba mara baada ya kutunukiwa Digrii ya Heshima ya Uzamivu (PhD Honoris Causa) katika mahafali hayo ya pili ya Taasisi hiyo jijini Arusha mwishoni mwa wiki. (Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

IMG_7719

-Pia asema kuwa ubishi wa siasa hauwezi kutoa majawabu ya changamoto za maendeleo

-Asisitiza umuhimu wa internet akielezea kuwa elimu ya sayansi haipatikani kwenye magazeti

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani