Chokala: Marais hawakunisikia
Balozi wa zamani nchini Urusi, Patrick Chokala amesema alitumia muda mwingi kuwashauri viongozi kuhusu masuala mbalimbali ya uadilifu hasa rushwa, ufisadi na utawala bora, lakini hakuna aliyemsikiliza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Nov
Hizi ni nchi 6 Afrika ambazo marais wake wa sasa ni watoto wa marais waliopita
![nyerere_karume_and_moyo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/nyerere_karume_and_moyo-300x194.jpg)
Suala la mtoto wa rais kuja kugombea urais lilionekena kama tatizo na linaendelea kuonekana kama tatizo barani Afrika lakini mambo si kama hivyo wanavyodhani waafrika wengi.
Mwezi uliopita, waziri mkuu wa Canada ambaye ni mtoto wa Justin Trudeau aliyekuwa waziri mkuu wa 15, alichaguliwa kuongoza serikali ya nchi hiyo.
Ingawa hali hiyo si ya kawaida kwenye nchi nyingi duniani, hali hiyo hiyo iliweza kushuhudiwa nchini Marekani pale ambapo Rais wa awamu ya sita John Quincy Adams alichaguliwa...
10 years ago
Habarileo21 Jun
Chokala wa 38 kuomba urais CCM
BALOZI Patrick Chokala, amekuwa kada wa 38 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama kuwania nafasi ya urais kupitia chama hicho.
10 years ago
Daily News03 Jul
Chokala promises accountability, care for the poor
Daily News
A CCM presidential aspirant, Ambassador Patrick Chokala, assured the public of accountability and caring for the marginalised once he becomes the fifth president. Amb. Chokala made the remarks here shortly after handing over his nomination form to the ...
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Chokala: Nitaendesha nchi kwa reli, bandari
10 years ago
MichuziBALOZI CHOKALA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS CCM
Na Chalila Kibuda,
Globu ya Jamii Mwandishi wa Habari wa Rais wa awamu ya Pili, BaloziPatrick Chokala ametangaza nia ya kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ili aweze kupeperusha bendera hiyo katika uchaguzi mkuu ujao mwaka huu.Akizungumza na waandishi wa habari leo...
10 years ago
TheCitizen19 Jun
CCM crowd swells as Chokala joins the queue for nomination
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Nakutana na marais
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wy0bytsZawbQTrIHWYTlRzOm2iHKWtkwF59bFj4UnybTh5H1DyXqQIiXHmj70mmZXhl4cmvI1JfiAPlsYwN9DPCWZIcjB11t/maraismadem.jpg?width=650)
MARAIS 6 WANAWAKE DUNIANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqJQ6ZpBHfE5Bkp-CbiZZZo2k5LL8ejpnNGf9LXxyO0qWYppy16bFCbX4Zdj7f8iTnlO-kehxRKLQFOgpxS5H-Il/ooooooooooooo.jpg?width=650)
MARAIS 9 MATAJIRI AFRIKA