Nakutana na marais
Nilipoanza kazi ya utangazaji pale Radio Tanzania mwaka ule wa 1969, sikuwahi kuwa na ndoto hata mara moja kwamba utafika wakati nitaweza kukutana ana kwa ana na viongozi wakuu wa nchi mbalimbali duniani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Nov
Hizi ni nchi 6 Afrika ambazo marais wake wa sasa ni watoto wa marais waliopita
Suala la mtoto wa rais kuja kugombea urais lilionekena kama tatizo na linaendelea kuonekana kama tatizo barani Afrika lakini mambo si kama hivyo wanavyodhani waafrika wengi.
Mwezi uliopita, waziri mkuu wa Canada ambaye ni mtoto wa Justin Trudeau aliyekuwa waziri mkuu wa 15, alichaguliwa kuongoza serikali ya nchi hiyo.
Ingawa hali hiyo si ya kawaida kwenye nchi nyingi duniani, hali hiyo hiyo iliweza kushuhudiwa nchini Marekani pale ambapo Rais wa awamu ya sita John Quincy Adams alichaguliwa...
10 years ago
GPLMARAIS 6 WANAWAKE DUNIANI
10 years ago
GPLMARAIS 9 MATAJIRI AFRIKA
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Marais wastaafu wakutana
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
US iliwachunguza marais wa Ufaransa
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Chokala: Marais hawakunisikia
11 years ago
Habarileo08 Aug
Bush ahimiza marais kushirikiana
RAIS wa zamani wa Marekani, George W. Bush ametaka marais kuungana kwa pamoja kuimarisha afya ya mama na wasichana.
10 years ago
Habarileo27 Feb
JK aweka mashada makaburi ya marais
RAIS Jakaya Kikwete ametembelea na kuweka mashahada ya maua ya marais watatu wa Zambia katika eneo la Maziko ya Marais katikati ya Jiji la Lusaka, Zambia.
10 years ago
Habarileo02 Sep
Marais 15 Afrika kujadili ugaidi
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuungana na marais wengine 14 wa Afrika, kujadili mbinu za kupambana na ugaidi na matukio mengine kuhifadhi raia wa Nepal yanayotishia hali ya usalama barani Afrika.