Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


US iliwachunguza marais wa Ufaransa

Kitengo cha ujasusi nchini Marekani NSA kiliwapeleleza marais wa Ufaransa akiwemo Jacques Chirac,Nicolas Sarkozy na Francois Hollande mwaka 2006-12,kulingana na mtandao wa wikileaks.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Hizi ni nchi 6 Afrika ambazo marais wake wa sasa ni watoto wa marais waliopita

nyerere_karume_and_moyo

Suala la mtoto wa rais kuja kugombea urais lilionekena kama tatizo na linaendelea kuonekana kama tatizo barani Afrika lakini mambo si kama hivyo wanavyodhani waafrika wengi.

nyerere_karume_and_moyo

Mwezi uliopita, waziri mkuu wa Canada ambaye ni mtoto wa Justin Trudeau aliyekuwa waziri mkuu wa 15, alichaguliwa kuongoza serikali ya nchi hiyo.

Ingawa hali hiyo si ya kawaida kwenye nchi nyingi duniani, hali hiyo hiyo iliweza kushuhudiwa nchini Marekani pale ambapo Rais wa awamu ya sita John Quincy Adams alichaguliwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Nakutana na marais

Nilipoanza kazi ya utangazaji pale Radio Tanzania mwaka ule wa 1969, sikuwahi kuwa na ndoto hata mara moja kwamba utafika wakati nitaweza kukutana ana kwa ana na viongozi wakuu wa nchi mbalimbali duniani.

 

10 years ago

GPL

MARAIS 9 MATAJIRI AFRIKA

1. Rais Equardo Jose Dos Anashika nafasi ya juu kwa marais wa Afrika kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 20.
2.Mohamed VII Rais wa Morocco anamiliki utajiri wa dola bilioni 2.5 za Kimarekani.…

 

10 years ago

Mwananchi

Chokala: Marais hawakunisikia

Balozi wa zamani nchini Urusi, Patrick Chokala amesema alitumia muda mwingi kuwashauri viongozi kuhusu masuala mbalimbali ya uadilifu hasa rushwa, ufisadi na utawala bora, lakini hakuna aliyemsikiliza.

 

11 years ago

Mwananchi

Marais wastaafu wakutana

Marais wastaafu barani Afrika wameanza kuweka mikakati ya pamoja ili kulisaidia bara hili namna linavyoweza kukabiliana na changamoto za kiuchumi hasa wakati huu ambako dunia inahimizwa kuwa na ushirikiano wa kimaendeleo.

 

10 years ago

GPL

MARAIS 6 WANAWAKE DUNIANI

Baada ya wiki iliyopita kuwaletea wasanii 7 matajiri Afrika. Wiki hii tunawaletea marais 6 wa kwanza wanawake katika nchi zao.  Sheik Hasina Wajed. Sheik Hasina Wajed ANA miaka 67. Kabla ya kuwa rais wa sasa wa Bangladesh kwa uchaguzi wa mwaka 2009, aliwahi kuwa waziri mkuu mwaka 1996 akaondolewa madarakani kutokana na nchi kukithiri rushwa. Mji Mkuu wa Bangladesh ni Dhaka. … ...

 

11 years ago

Habarileo

JK, marais 46 Afrika wakutana na Obama

RAIS Jakaya Kikwete yuko Marekani kwa ziara ya siku tisa nchini humo ambako miongoni mwa mambo mengine, atahudhuria Mkutano wa Kwanza wa Kihistoria wa Viongozi wa Bara la Afrika na Marekani ulioitishwa na Rais Barack Obama.

 

10 years ago

GPL

WAKE WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA

Baada ya wiki iliyopita kuwaletea mabinti warembo wa marais wa nchi kadhaa za Afrika wanaosifika kwa uzuri, wiki hii tunawaletea wake wa marais wa nchi hizo ‘wanaokimbiza’ kwa uzuri, uvaaji nk. Ana Paula Dos Santos. Ana Paula Dos Santos
alizaliwa1964, ni mke wa Rais wa Angola, Jose Eduardo Dos Santos, Paula ni mwanamitindo wa zamani, anasifika kwa uzuri na kujua kuvaa.… ...

 

10 years ago

GPL

MABINTI WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA

SAFU hii mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbalimbalikutokana na sifa zao tofauti AngePaul Kagame Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye binti mrembo kuliko wengine.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani