Chopa afunguka alivyotaka ‘kujiua’ kisa Yanga.
Mkali wa filamu za Kibongo, Chopa Mchopanga amefunguka picha yake iliyosambaa kwenye mitandao mwishoni mwa wiki hii ikimuonyesha akiwa ameshika chupa ya bia na dawa,huku baadhi ya watu wakisema kuwa msanii huyo alitaka kujiua baada ya timu yake ya Yanga kufungwa na Simba.
Akizungumza na Clouds alisema kuwa amekuwa akipigiwa simu nyingi kuhusiana na picha ile lakini ukweli ni kwamba picha ile ina mahusiano na timu hiyo(Yanga) ingawa haihusiani na mechi iliyochezwa Jumapili iliyopita katika...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
PART III YA ADEBAYOR: KAKA ZANGU WALINIWEKEA KISU SHINGONI KISA FEDHA NA NIMEJARIBU MARA KADHAA KUTAKA KUJIUA
10 years ago
GPL
JA RULE AFUNGUKA KISA CHA KUMPOTEZEA JAY Z
10 years ago
GPL25 May
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
11 years ago
GPL
Loga akesha, kisa Yanga SC
11 years ago
GPL
Yanga yatangaza waliopigwa chini, kisa Marcio Maximo
10 years ago
Habarileo31 Mar
Polisi waelezwa Slaa alivyotaka kuuawa
MCHUMBA wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa, Josephine Mushumbusi jana ametoa maelezo yake katika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kuhusu tuhuma za kutaka kuuawa kwa katibu huyo.
11 years ago
GPL
CHID BENZ ALIVYOTAKA KUUA DEMU