Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Loga akesha, kisa Yanga SC

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Hans Mloli
POINTI tatu katika mechi nne za mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara, zimemfanya Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, akose usingizi. Logarusic, raia wa Croatia, maarufu kama Loga, amesema kati ya pointi hizo 12, tatu ni zile dhidi ya Yanga na amekuwa akipiga hesabu atazipata vipi kwa kuwa wakikutana anatambua ‘patachimbika’. Akizungumza na Championi Jumatano,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Loga: Ni Azam, Yanga, City

>Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic ‘Loga’ amesema tiketi ya timu yake kufuzu kucheza michuano ya kimataifa ipo mikononi mwa Azam FC, Yanga na Mbeya City.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha Loga aiponda ziara ya Yanga

Baada ya Yanga kwenda kuweka kambi Uturuki, Kocha wa Simba, Zradvok Logarusic ameibeza safari hiyo na kuhahidi kuendeleza kutoa kipigo kwa mabingwa hao.

 

11 years ago

GPL

Loga amgawia jezi ya Simba, mchungaji Yanga

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic.
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Zadravko Logarusic ametoa zawadi ya jezi ya Simba kwa mchungaji wa kanisa la Katoliki ambaye ni shabiki wa Yanga na akaipokea bila ya matatizo.

Logarusic maarufu kama Loga amewasilisha zawadi hiyo siku tatu zilizopita katika mji aliozaliwa wa Slavonski Brod ambao mchungaji, Josephat Mosha amekuwa akifanya kazi kwa miaka nane sasa.

Mosha raia wa...

 

10 years ago

CloudsFM

Chopa afunguka alivyotaka ‘kujiua’ kisa Yanga.

Mkali wa filamu za Kibongo, Chopa Mchopanga amefunguka picha yake iliyosambaa kwenye mitandao mwishoni mwa wiki hii ikimuonyesha akiwa ameshika chupa ya bia na dawa,huku baadhi ya watu wakisema kuwa msanii huyo alitaka kujiua baada ya timu yake ya Yanga kufungwa na Simba.Akizungumza na Clouds alisema kuwa amekuwa akipigiwa simu nyingi kuhusiana na picha ile lakini ukweli ni kwamba picha ile ina mahusiano na timu hiyo(Yanga) ingawa haihusiani na mechi iliyochezwa Jumapili iliyopita katika...

 

11 years ago

GPL

Yanga yatangaza waliopigwa chini, kisa Marcio Maximo

Kocha wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo. John Joseph na Wilbert Molandi
IMEFAHAMIKA kuwa ujio wa kocha wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo, umezuia ajira ya makocha 45 walioomba nafasi hiyo kwenye Klabu ya Yanga, lakini pia tayari ameshakabidhiwa majukumu ya kufanya usajili. Maximo raia wa Brazil, yupo katika hatua za mwisho za kumalizana na klabu hiyo ya Jangwani kabla ya kutua jijini Dar es Salaam kuusaini mkataba...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA AKESHA AKILIA

Stori:  Mwandishi wetu
SIKU za masikitiko bado zinaendelea kwa waziri mkuu aliyejizulu, Edward Lowassa baada ya kuwepo kwa taarifa za kukesha akilia, kisa kikitajwa kuwa ni mwendelezo ya maombolezo ya kifo cha Mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), Kapteni John  Komba.Kapteni Komba alifariki dunia Februari 28, mwaka huu jijini Dar na kuzikwa kijijini kwao, Lituhi mkoani Ruvuma, Machi 3. Waziri mkuu aliyejizulu, Edward Lowassa....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani