LOWASSA AKESHA AKILIA

Stori: Mwandishi wetu SIKU za masikitiko bado zinaendelea kwa waziri mkuu aliyejizulu, Edward Lowassa baada ya kuwepo kwa taarifa za kukesha akilia, kisa kikitajwa kuwa ni mwendelezo ya maombolezo ya kifo cha Mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), Kapteni John Komba.Kapteni Komba alifariki dunia Februari 28, mwaka huu jijini Dar na kuzikwa kijijini kwao, Lituhi mkoani Ruvuma, Machi 3. Waziri mkuu aliyejizulu, Edward Lowassa....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
SHUHUDIA AMANI AKILIA JUKWAANI NA MKEWE SIKU YA SHEREHE ZA THT

11 years ago
GPL
Loga akesha, kisa Yanga SC
11 years ago
GPL
MTITU AKESHA AKIMUOMBEA BABA YAKE
10 years ago
GPL
BABA MZAZI AKESHA AKIBAKA WANAYE!
10 years ago
GPL
URAIS 2015: NYALANDU AKESHA AKICHEZA SEBENE!
10 years ago
Vijimambo
Baba Mzazi Akesha akiwabaka wanawe wawili wadogo.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, SACP Leberatus Sabas.KUBAKWA KUNAENDELEA!!Binti huyo alitoa ya moyoni kuhusu kisa chake hicho cha kubakwa na kulawitia kwa kusema:“Sijui ni nini?! Siku nyingine nikiwa na mdogo wangu tunayesoma naye shule, tuliitwa na babu mmoja anaitwa Elias. Tulikwenda hadi nyumbani kwake.“Tulipofika, babu alitupa chipsi na kula. Halafu alimwambia mwenzangu atoke nje na kuanza kunibaka mimi. Alipomaliza, alimuita mwenzangu, naye akambaka. Alikuwa akitupatia chipsi kisha...