URAIS 2015: NYALANDU AKESHA AKICHEZA SEBENE!
![](http://api.ning.com:80/files/1R1gqINM7bzig-cQjpIDzbvClEqjPGe8Vc4Yqp1zpDLUS3hnUdUQvEBaE6oi9NUPTnR9fDWGnQ58QVfeLbKL2b4JRhMQ0Qrx/BACKJUMAMOSI.jpg)
Stori:Mwandishi wetu, Kibaha WAZIRI wa Mali Asili na Utalii, Lazaro Nyalandu ambaye ametangaza nia ya kuwania urais wa nchi amefanya kufuru kubwa katika Kanisa la Efatha linaloongozwa na Nabii Josephat Mwingira, mjini Kibaha, Pwani baada ya kusakata sebene la Injili usiku wa manane. Waziri wa Mali Asili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiselebuka. Nyalandu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini (CCM), alifanya hayo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 Dec
Nyalandu ajitosa urais 2015
MBIO za urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimechukua sura mpya baada ya jana Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kutangaza rasmi nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka kesho.
10 years ago
Dewji Blog28 Dec
Nyalandu atangaza rasmi kuwania Urais 2015
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye Mkutano wa jimbo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo, jimboni humo (Picha na Bashir Nkoromo theNkoromo Blog).
theNkoromo Blog, Singida
Mbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani.
Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba...
10 years ago
Vijimambo14 Oct
Nyalandu: Nasubiri kuombwa kuwania urais 2015
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lazaro%20Nyarandu-October--2014.jpg)
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema hawezi kutangaza kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao bila kutumwa na watu.
Nyalandu amesema kuwa wadhifa wa kuongoza nchi ni mkubwa mno, ambao mtu hawezi kujichukulia uamuzi wa kuiomba nafasi hiyo isipokuwa mpaka atumwe na watu, huku akisema kuwa ingawa hana mpango wa kugombea urais, lakini hata yeye akitumwa anaweza kugombea.
Nyalandu aliyasema hayo juzi kwenye mkutano wake na wandishi...
10 years ago
Michuzi29 Dec
NYALANDU ATANGAZA RASMI NIA YA KUWANIA URAIS 2015
theNkoromo Blog, SingidaMbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani.
Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba anao uwezo wa kuiongoza Tanzania, katika harakati za kuwafikisha kwenye maendeleo endelevu wanayotaka Watanzania.
Amesema, yuko tayari kushindanishwa na Watanzania wengine watakaoona kuwa wanafaa kuwa Rais, lakini akisema kwanza kila atakayejitokeza itabidi kazi zake...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Nyalandu ajitosa rasmi mbio za Urais kupitia CCM 2015
10 years ago
Habarileo14 Oct
Nyalandu ashangazwa na wanaokimbilia urais
WAKATI joto la Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kwa mwaka kesho likizidi kupanda, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewashangaa wanaojitokeza kutangaza nia ya kuwania Urais, akisema nafasi hiyo ni nyeti ambayo wengi wanapaswa kuogopa kutangaza kuitaka.
10 years ago
Mtanzania29 Dec
Nyalandu atangaza kugombea urais
Na Kulwa Karedia, Singida
MBIO za urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimechukua sura mpya baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutangaza rasmi nia ya kugombea urais mwaka 2015.
Akizungumza katika mkutano wa kuwashukuru wapigakura wake kwenye uwanja wa michezo wa Shule ya Msingi Ilongero, Wilaya ya Singida Vijijini jana, Waziri Nyalandu alisema muda wa Tanzania kupata maono mapya umefika.
“Muda wa Tanzania kupata maono mapya umefika, nitachukua hatua ya kuelekea...
10 years ago
Mwananchi19 Mar
Nyalandu: Urais CCM, Ukawa ni kivumbi
10 years ago
MichuziNYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS