Kocha Loga aiponda ziara ya Yanga
Baada ya Yanga kwenda kuweka kambi Uturuki, Kocha wa Simba, Zradvok Logarusic ameibeza safari hiyo na kuhahidi kuendeleza kutoa kipigo kwa mabingwa hao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Aug
Mwenyekiti Yanga aiponda Simba
MWENYEKITI wa Matawi ya Yanga Visiwani Zanzibar Said Ali Manzi amesema kuwa viwango wanavyoonesha wachezaji wa Simba ni vibovu tofauti na walivyotarajia.
11 years ago
GPLKOCHA WA SIMBA LOGA ATINGA GLOBAL
Kocha Mkuu wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic akisalimiana na Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph (anayetazamana na kocha huyo) sambamba na Mhariri Kiongozi wa magazeti ya Championi, Saleh Ally aliyevaa sweta la kijani. Loga akielekezwa jambo namna gazeti linavyotengenezwa awali kwenye ofisi za Global na Msanifu Kurasa wa… ...
11 years ago
GPL
Kocha Loga aacha timu, ajifua mwenyewe
Na Martha Mboma
KATIKA hali ya kufurahisha na ambayo haijazoeleka hapa nchini, juzi kocha wa Simba aliacha kuwafundisha wachezaji wake na kufanya mazoezi mwenyewe. Mazoezi ya Simba ambayo yalikuwa yanafanyika kwenye Uwanja wa Kinesi jijini Dar es Salaam, yalisimamiwa na kocha msaidizi, Selemani Matola, huku Loga akifanya yake mwenyewe pembeni mwa uwanja. Championi lilishuhudia tukio hilo wakati timu hiyo ikiwa katika mazoezi...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE


11 years ago
GPL
Loga akesha, kisa Yanga SC
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Hans Mloli
POINTI tatu katika mechi nne za mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara, zimemfanya Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, akose usingizi. Logarusic, raia wa Croatia, maarufu kama Loga, amesema kati ya pointi hizo 12, tatu ni zile dhidi ya Yanga na amekuwa akipiga hesabu atazipata vipi kwa kuwa wakikutana anatambua ‘patachimbika’. Akizungumza na Championi Jumatano,...
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Loga: Ni Azam, Yanga, City
>Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic ‘Loga’ amesema tiketi ya timu yake kufuzu kucheza michuano ya kimataifa ipo mikononi mwa Azam FC, Yanga na Mbeya City.
11 years ago
GPL
Loga amgawia jezi ya Simba, mchungaji Yanga
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic.
Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Zadravko Logarusic ametoa zawadi ya jezi ya Simba kwa mchungaji wa kanisa la Katoliki ambaye ni shabiki wa Yanga na akaipokea bila ya matatizo.
Logarusic maarufu kama Loga amewasilisha zawadi hiyo siku tatu zilizopita katika mji aliozaliwa wa Slavonski Brod ambao mchungaji, Josephat Mosha amekuwa akifanya kazi kwa miaka nane sasa.
Mosha raia wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania