Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JA RULE AFUNGUKA KISA CHA KUMPOTEZEA JAY Z

Mkali wa Hip hop, Ja Rule. UNAPOTAJA jina la Ja Rule kwa watu wa Hip Hop, Pop na R&B watakuwa wanalijua vizuri japokuwa miaka ya hivi karibuni umaarufu wa msanii husika umepungua. Ja Rule, rapa mzaliwa wa Kitongoji cha Queens jijini New York, alihojiwa na kituo kimoja cha redio mapema wiki hii, amefunguka mambo mengi kuhusu safari yake ya kisanii: Kutojiunga Roc-A-Fella Records Hii ni lebo ambayo ipo chini ya Jay Z, wakati Ja...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo. Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…

 

11 years ago

CloudsFM

PROFESA JAY AFUNGUKA KUGOMBEA UBUNGE 2015

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Profesa Jay wa Mitulinga, kama unakumbuka vizuri tarehe 21 mwezi wa tano mwaka jana 2013 alikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa chama siasa cha CHADEMA na aliyemkabidhi kadi hiyo ni mbunge ambaye pia ni msanii wa Hip Hop Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.Baada ya hapo hisia za Watanzania zilisafiri mpaka mjini Songea na kutoa jibu kwamba mwaka 2015 msanii huyo atagombea ubunge katika moja kati ya majimbo ya mkoani Ruvuma. Clouds fm imepiga stori na Profesa Jay huyu...

 

10 years ago

Vijimambo

LADY JAY DEE AFUNGUKA KUHUSU KUWA NA MTOTO!

Jide akiwa na Mokonyo (mtoto wa mdogo wake Dabo)Lady Jaydee ameendelea kujibu maswali ya mashabiki wake kupitia Instagram, na maswali mengine aliyokutana nayo ni kuhusu kama ana mtoto au ameasili mtoto ambaye huonekana kwenye kipindi chake cha ‘Diary Ya LadyJaydee’ kinachorushwa kupitia EATV. “SWALI: Una watoto wangapi?JIBU : Sina mtoto wala watoto 
SWALI:Utazaa lini?JIBU : Sijajua mpk sasa nitazaa lini, ila siku yoyote ile ikitokea naweza kuzaa 
SWALI: Kwanini huna mtoto /watoto?JIBU : Sina...

 

10 years ago

CloudsFM

Chopa afunguka alivyotaka ‘kujiua’ kisa Yanga.

Mkali wa filamu za Kibongo, Chopa Mchopanga amefunguka picha yake iliyosambaa kwenye mitandao mwishoni mwa wiki hii ikimuonyesha akiwa ameshika chupa ya bia na dawa,huku baadhi ya watu wakisema kuwa msanii huyo alitaka kujiua baada ya timu yake ya Yanga kufungwa na Simba.Akizungumza na Clouds alisema kuwa amekuwa akipigiwa simu nyingi kuhusiana na picha ile lakini ukweli ni kwamba picha ile ina mahusiano na timu hiyo(Yanga) ingawa haihusiani na mechi iliyochezwa Jumapili iliyopita katika...

 

10 years ago

GPL

KISA RIHANNA, BEYONCE NA JAY Z WAINGIA KATIKA MGOGORO

Beyonce na Jay Z katika pozi. MWANAMUZIKI Beyoncé Giselle Knowles 'Beyonce' na mumewe Shawn Corey Carter 'Jay Z' wameripotiwa kuwa kwenye mgogoro tena huku mwanamuziki Rihanna akihusishwa. Wanandoa hao wapo kwenye mgogoro kutokana na simu ya siri ambayo Jay Z anadaiwa kuitumia kuwasiliana na Rihanna pasipo Beyonce kujua. Wanaume wengi wana simu za siri ambazo hutumia kuwasiliana na watu wao kwa siri, ila mara nyingi wanakuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Ruge Afunguka Kwanini Baadhi ya Wasanii Wanamchukia...Adai Lady Jay Dee Waliniumiza Kichwa Sana


Ruge Mutahaba anaweza kuwa ametajwa kwenye masakata mengi ya ubaya dhidi ya wasanii, akibebeshwa lawama kuliko mtu mwingine yeyote kwenye tasnia ya muziki, lakini kwake ni mambo matatu tu ndiyo anaona yamemsumbua sana.Mtaje Mr ll, mtaje Lady Jay Dee na mtaje Q Chief, utakuwa umemkumbusha mbali mkurugenzi huyo wa vipindi wa Clouds Media, ambaye pia amefanya kazi ya kusimamia wasanii wengi na ndiye kiongozi wa chuo cha Tanzania House of Talents (THT).
Katika makala haya, Ruge anazungumzia mambo...

 

10 years ago

CloudsFM

JAY MOE ASHINDWA KUTOA ALBAM KISA KUKOSA MWAMKO WA ALBUM ZA BONGO FLEVA HIVI SASA.

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva Jay Moe,ambaye alikuwa kimya kwa kipindi kirefu mara ya mwisho alikuwa na deni kwa mashabiki wake la Mchongo wa deni la Album ya Mocumental. Album hiyo ilikuwa itoke zaidi ya miaka 3 iliyopita yaani kabla hata album hazijaanza kubuma kuuzika,Jay moe kila alipokuwa akiiulizwa kuhusu albam hiyo hakuawa na majibu sahihi lakini ameamua kufunguka kuwa sababu ni kukosa mwamko katika uuzaji wa albamu za muziki wa Bongo Fleva.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani