Christian Bella asema Belle 9 ni mkali ila ‘tatizo ni nyota tu’
Mwanamuzi wa bendi ya Malaika, Christian Bella anaamini kuwa Belle 9 ni msanii mwenyezi uwezo mkubwa ila tatizo hana tu nyota ya kung’aa. Hivi karibuni Bella alikuwa kwenye kipindi cha ‘Mboni Show’ ambako alisema Belle amekosa nyota ya kung’aa ingawa ana uwezo mkubwa wa kuimba kwa kutumia sauti yake. “Sielewi kwanini rafiki yangu Belle 9 […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Christian Bella: Belle 9 hana nyota
Na Festo Polea
MWANAMUZIKI Christian Bella ‘King of melody’, amesema kwamba msanii wa bongo fleva, Ablenego Damian ‘Belle 9’, amekosa nyota ya kung’aa ingawa ana uwezo mkubwa wa kuimba kwa kutumia sauti yake.
Christian Bella alisema hayo katika kipindi cha ‘Mboni Show’. Alisema kati ya wasanii watatu wanaomvutia kwa kujua kuzitumia sauti zao, Belle 9 ni mmoja wao.
Aliwataja wasanii wengine kuwa ni Ali Kiba na Diamond.
“Nisiwe mnafiki, Diamond hana sauti nzuri kama Ali Kiba katika kuimba na...
9 years ago
Bongo517 Oct
Wasanii wengi Bongo ni wanaweza, hawana nyota tu — Christian Bella
11 years ago
Bongo505 Aug
Christian Bella asema aliutunga ‘Nani Kama Mama’ baada ya kumshuhudia mkewe akijifungua
9 years ago
Bongo515 Dec
Bella kuja na ‘Christian Bella House of Talents’
![12301240_431794427022691_698500110_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301240_431794427022691_698500110_n-300x194.jpg)
Staa wa muziki, Christian Bella ameweka wazi mpango wake wa kuanzisha lebo yake ya muziki ‘Christian Bella House of Talents’ itakayosaidia vijana wenye vipaji vya kuimba.
Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Acha Kabisa’ akiwa na Koffi Olomide hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa anafanya hivyo ili kuwasaidia vijana wanaotaka msaada wake.
“Mpango wangu mkubwa kwa mwaka 2016 ni kuanzisha record label yangu ambayo itaitwa Christian Bella House of Talents,” amesema.
“Itakuwa inasaidia vijana wenye...
9 years ago
Bongo508 Dec
Mimi ni mkali ila sina zali tu – Jay Moe
![Jaymoe](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Jaymoe-300x194.jpg)
Ni muda mrefu tulikua hatujamskia Jay Moe, yule yule wa ‘Mvua na Jua’, yule yule wa ‘Kama unataka demu’, yule yule wa ‘Kimya Kimya’ na marehemu Ngwea, au kwa utambulisho wowote unaoufahamu wewe lakini ninayemzungumzia mimi ni Juma mchopanga.
Jamaa amerudi na wimbo mpya ‘Hili Game’, kama alivyoahidi siku chache zilizopita kua anavunja ukimya wa miaka minne kabla mwaka haujaisha. Ametambulisha wimbo huo Jumatatu hii Dec 7.
Wote tunafahamu ugumu wa game ya muziki wa bongo, baadhi ya...
9 years ago
Bongo526 Oct
Music: Christian Bella — Umefulia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68xXzXfwLzSnf5et*1bgxiZSvqPBpLUvPNG38miKxcLssqKFXUzhzeP3uAPrHr8JkfcFclLIezDPhfb-rD3I4bYm/frontWIKIENDA.jpg?width=650)
HAKUNA KAMA CHRISTIAN BELLA
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Kitime akosoa muziki wa Christian Bella
NA GEORGE KAYALA
MKONGWE wa muziki wa dansi nchini, John Kitime, ameukosoa muziki wa mwanamuziki mwenzake, Christian Bella, kwa madai kwamba una mapungufu mengi ya kiufundi.
Kitime alitoa hayo mwishoni mwa wiki, alipotembelea ofisi za Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, iliyopo Sinza Kijiweni, inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Bingwa, Dimba, The African na Rai.
Kitime alisema mwanamuziki huyo ana sauti nzuri ya uimbaji, ila muziki wake umekosa vionjo, ndiyo maana unakosa uhai wa muda mrefu...
9 years ago
Bongo512 Nov
New Music: Christian Bella f/ Alikiba — Nagharamia
![nagharamia artwork](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/nagharamia-artwork-300x194.jpg)
Christian Bella na Alikiba wameachia collabo yao ‘Nagharamia’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu. Isikilize hapo chini.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!