Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Christian Bella kumsindikiza Miss Albino Novemba 27

Christian BellaNA GEORGE KAYALA

MFALME wa Sauti, Christian Bella, anatarajiwa kutumbuiza katika shindano la kumsaka mrembo albino ‘Miss Albino’ linalotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu, kwenye Ukumbi wa Msasani Club, jijini Dar es Salaam.

Shindano hilo awali lilipangwa kufanyika Septemba 4 mwaka huu katika Hoteli ya Serena, lakini likashindikana hadi lilipotangazwa tena.

Mwenyekiti wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation (SVF), Fredy Kaula, walioandaaa shindano hilo, alisema...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Bella kuja na ‘Christian Bella House of Talents’

12301240_431794427022691_698500110_n

Staa wa muziki, Christian Bella ameweka wazi mpango wake wa kuanzisha lebo yake ya muziki ‘Christian Bella House of Talents’ itakayosaidia vijana wenye vipaji vya kuimba.

12301240_431794427022691_698500110_n

Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Acha Kabisa’ akiwa na Koffi Olomide hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa anafanya hivyo ili kuwasaidia vijana wanaotaka msaada wake.

“Mpango wangu mkubwa kwa mwaka 2016 ni kuanzisha record label yangu ambayo itaitwa Christian Bella House of Talents,” amesema.

“Itakuwa inasaidia vijana wenye...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA MTANZANIA FADHILI MAJIHA KUMSINDIKIZA MANNY PAQUAIO NOVEMBA 22 MACAO CHINA

Na Mwandishi WetuBONDIA Fadhili majiha kwa mara ya kwanza ataiwakilisha nchi ya tanzania akicheza katika mpambano wa utangulizi wa bondia mkubwa duniani Manny Paquaio na Chris Algieri mpambano utakaofanyika 

Cotai Arena, Venetian Resort, Macao, Macao S.A.R., China mpambano ambao bonia mtanzania Fadhili Majiha atavaana na Jerwin Ancajas kutoka Philippines mpambano utakaokuwa wa raundi 8 
mchezo uliopowa hadhi ya nyota mbili ambapo watanzania wote wanapaswa kumuombea duwa bondia nambari moja kwa...

 

10 years ago

GPL

HAKUNA KAMA CHRISTIAN BELLA

Na Waandishi Wetu/Ijumaa Wikienda
Wikiendi iliyopita, dunia nzima ilikuwa ikiadhimisha siku ya Valentine’s Day au kwa Kiswahili Siku ya Wapendanao! Mambo yalinoga ndani ya Ukumbi wa Dar Live ambapo wakali wa mapenzi, Christian Bella ‘Obama’ na Mzee Yusuf walifanya yao na kuzikonga vilivyo nyoyo za maelfu ya mashabiki waliofurika, Ijumaa Wikienda lilikuwepo kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Mkali wa mapenzi,...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Christian Bella — Umefulia

Wimbo mpya wa Christian Bella na Band yake ya Malaika Band unaitwa “Umefulia” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Christian Bella f/ Alikiba — Nagharamia

nagharamia artwork

Christian Bella na Alikiba wameachia collabo yao ‘Nagharamia’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu. Isikilize hapo chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA KUFANYA USIKU WA MASAUTI

Mwanamuziki Christian Bella (katikati), akiwa akieleza jambo juu ya shoo yake inayotarajiwa kufanyika Aprili 18 mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni meneja wake John Mchaima ‘Simple’,  na kulia ni mmoja waratibu wa shoo hiyo, Rehema Jones. Mwanamuziki Christian Bella, akitoa kionjo cha wimbo wake kwenye kikao cha waandishi wa habari.…
...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA AWASILI JIJINI DAR

Christian Bella akiongea na wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar jioni hii. MWANAMUZIKI Christian Bella 'King of the best melodies' ambaye pia ni prezidaa wa Malaika Band, jioni hii ametua jijini Dar es Salaam akitokea nchini Sweden alipokwenda kuijulia hali familia yake pamoja na kufanya shoo katika baadhi ya nchi za Ulaya. Staa huyo Jumamosi hii...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Linah f/ Christian Bella — Hellow

Ngoma mpya ya Linah aliyomshirikisha Christian Bella inaitwa ‘Hellow’

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani